kuuliza si ujinga

Claire

Village Elder
#41
Kwani what kind of country are we living in and WHAT KIND OF PEOPLE ARE WE . Juzi wameuwa Musando in cold blood kenyans cried foul on Twitter and uwesmake.com and other blogs after two days story imeisha .

Ndegwa Muhoro what exactly is his work ? Jamaa kama hawezi solve kesi hata moja anafanya nini hapo . Kama ya mzito haiwezi kuwa solved sasa ya mwizi wa kuku kama @uncle nyam ama ya Malaya kama @Female Perspective ita kuwa solved kweli ? It's time we went the Arab uprising way . @Mathaais ingia pale kibich usiku na loudspeaker useme Rwnbp na @Jazzman enda pale statehouse na toy gun ushout Uotp tuwafuate mimi ntawakilisha pale kimilili kwa chief ntashout
' makende ya @Mundu Mulosi wewe chief bukusu jinga ' then tuanze uprising kama waarabu .

Niko club 64 villagers ako around kuom mumeze gibleys hii nimenunua 3500 kshs
You are funny.
 
Top