afta kuvimba…msafara utaelekea mamangina drive…[ATTACH=full]1954[/ATTACH]
Mwanaume ni ugali kakei,hio ingine wachia kina supu don na supu waiganjo.
omwami saa ingine sio mbaya kubadilisha diet…
achana na chakula cha ndege kakende bwana
A little creative… next time chop that banana to pieces and put them on a bowl, drop a piece of pineapple/ water melon and you are good to go.
@ol monk… hio ni biryani ya mbuzi… receipe siijui… najua tu kula.:D:D:D
@Supu don unajua hii mambo saidi beib
HII BIBI AKIPIKA SAA MOJA BY SAA SITA NYAHUNYO ZITAMUAMSHA APIKE UGALI NA BUSUMA
Kai wahikanirie mundu wa gwitu? Icio warugirwo ni Waria,nio mariaga marigu meru na mucere. na ndukanjire niwe waruga kamucere kau tondu ninjui ona riko ndui kuria riri!!
:D:D:D
eish uncle ugali na ugali ingine pia kama mboga
Biryani ya kuku…Island dishes Mombasa karibu na Fort Jesus…the best.
Tarboush
@Unicorn anajua tu kupika biryani ya managu
Will give it a try soon @ mbomb…
Kesho naweka picha ya ugali ,and I mean ugali ile imepikwa,baada ya kuiva ikaongezwa unga,alafu unaacha inaunguwa kidogo …!
Majama you get the real drift?
Kijana pata mke.