KUWA MACHO NA FORUMS ZINAZOANZISHWA USIJE KUWA MTEGO WA JIWE

Nawahusia tuachane na forums hizi zinazoota kama uyoga. Unaweza kuwa mtego wa Jiwe kunasa wapigania uhuru. ANAWEZA AKAANZISHA KUSUDI ANAS WATU…TAKE CARE. Maana sasa ni full fledged DICTATORSHIP like Bokassa, Mobutu and all other renowned dictators in the history of the world!

[ul]
[li]Adolf Hitler. (German)[/li][li]Joseph Stalin. (Russian)[/li][li]Kim Jong-un. (Korean)[/li][li]Bashar al-Assad. (Syrian)[/li][li]Benito Mussolini. (Italian)[/li][li]Mao Zedong. (Chinese)[/li][li]Saddam Hussein. (Iraqi)[/li][li]Muammar Gaddafi. (Libyan)[/li][/ul]
[ATTACH=full]177729[/ATTACH][ATTACH=full]177730[/ATTACH][ATTACH=full]177731[/ATTACH][ATTACH=full]177732[/ATTACH][ATTACH=full]177733[/ATTACH][ATTACH=full]177734[/ATTACH][ATTACH=full]177735[/ATTACH][ATTACH=full]177736[/ATTACH][ATTACH=full]177737[/ATTACH][ATTACH=full]177738[/ATTACH][ATTACH=full]177739[/ATTACH][ATTACH=full]177740[/ATTACH][ATTACH=full]177741[/ATTACH][ATTACH=full]177742[/ATTACH][ATTACH=full]177743[/ATTACH][ATTACH=full]177744[/ATTACH][ATTACH=full]177745[/ATTACH][ATTACH=full]177746[/ATTACH][ATTACH=full]177747[/ATTACH][ATTACH=full]177748[/ATTACH][ATTACH=full]177749[/ATTACH][ATTACH=full]177750[/ATTACH][ATTACH=full]177751[/ATTACH][ATTACH=full]177752[/ATTACH][ATTACH=full]177753[/ATTACH][ATTACH=full]177754[/ATTACH][ATTACH=full]177755[/ATTACH][ATTACH=full]177756[/ATTACH]

Hivi, kama email yako ni fake, id fake unakuwa na wasiwasi gani?

Juzi tumetangaziwa kukamatwa kwa watuma sms za uganga wa jadi na matapeli. Picha zao zikawekwa kwa mtandao. Ajabu tangu watangaze ndo hizo sms na utapeli umeongezeka.

Binafsi nadhani ile ilikuwa ni danganya toto, na waliokamatwa yawezekana walibambikiwa kesi tu ili polisi waonekane kuwa active kumbe hamna lolote.

Naunga mkono.

Hahahaaaaa…mkuu umenifurahisha mana baada ya kutoka ile taarifa ya kuwakamata…siku hiyo hiyo nilipata ujumbe sa nikajiuliza waliingia cello na simu zao au…

Serikali la kipumbavu hufukuzana na wananchi wasio na hatia wasitoe maoni yao yaliyoruhusiwa na katiba lakini serikali makini hufukuzana na sayansi na tekinolojia ili kuleta maendeleo na maisha bora kwa wananchi wake.
Ni punguani wahedi tu ndo anayeweza kukubaliana na zama za mawe za sasa.

Haaaahaaa. Teknolojia imeshawapiga bao hao washenzi. Tushawaweza

Wanachokiangalia ni hiyo email iliundwa kwenye kifaa (device) gani, wanafukua taarifa za hicho kifaa kama SIM card, location ambayo mda mrefu huwa inapatikana (hususan wakati wa usiku) nk.

Wazungu ama hawahawa IT wetu wa bongo??

Kama kifaa kilichoiunda kilishapotezwa na hiyo email haijawahi funguliwa tangu iundwe, namaanisha niliifungulia internate cafe then nikaitumia huko huko kuverfy acount za JF or KT watanipataje? Hivi kwa akili yako MAGU angekuwa na uwezo huo JF ingepitia hali ngumu kama inayopitia sasa? Na sio JF tu, hata google & yahoo waliwahi kupitia hali ngumu kama ya JF. Kuficha ID sio tanzania tu, hii iko dunia nzima. Kama hujawahi kupata ujumbe wa matapeli kupitia yahoo & gmail, ndo ujiongeze.

Mkuu hebu tumia concept ya “IP Address” na “MAC Address” kutupa elimu ya namna hawa mbwa wanaweza kutu-trackdown, nahisi hapo tutaelewa zaidi na tutaweza kujilinda zaidi.

Kunanmoja nimeona inapigiwa debe inaitwa “tuzungumze forum” ina majukwaa yote kama ya JF ila wametahadharisha hawataki habari za kichochezi hahahaha

Embu tupe link tupitie, Maana tunapata shida sana ya kupata habari

Jiwe atapata tabu sana…

Mkuu nadhani technologia imekua zaidi wanaweza kunasa hata details za kifaa unacho tumia

[FONT=courier new]Na usije ukashangaa ukakuta hao hao waliowakamata hao ’ Wahalifu ’ wa Mitandao sasa na Wao ndiyo wanaendelea ’ Kututapeli '. Cheza na Watu Afrika ila siyo Mtanzania.[/FONT]

Kwahiyo IP address yako pia ni feki maana wakii track hiyo Ip address utajulikana mpaka location uliopo. Email fake basi haupo salama

Sijui kanuni za hapa zinasemaje nisije kula ban, ila kwa taarifa tu ni kwamba huko hakuna kitu inaonyesha imeanzishwa na mwana lumumba ili kuvuruga watu

kuficha ID siyo solution, unaficha ID halafu upo jf na umeacha location on :D:D:D:D

Bado picha moja

Kwenye forum ya kikuda ukiingia unaona tu hata post zake unajua ya watu wa kujipendekeza. Forum ya hivyo unaipotezea wanabaki wenye mrengo huo tu. Wakiona hamna wachangiaji na wenyewe wanaipotezea. Forum za hivyo zinakuwaga kama disko la wanaume watupu.