Kwa anaejua jina la hii song au jina ya huyu artist anitajie tafadhali

Guys nimepata hii clip and i like the song but i dont know jina la artist wala jina la ngoma enyewe, mssda pleas