Kwa wale mnaotaka kwenda kuishi Canada

https://www.canadavisa.com/canada-immigration-discussion-board/

Ingia kwenye forum hiyo hapo kila kitu kinajadiliwa. Asilimia 90 ya members ni wahindi (waasia), waliobakia ni watu kutoka kwengine. Ila kuna la kujifunza ikiwa lengo lako ni kuishi Canada, best luck

Asante mkuu

Usinisahau

Hahah!! Siwezi

Ebu fanya mipango basi sio ufike uko unisahau

[ATTACH=full]178356[/ATTACH]

Ningekuwa rastafarian ningefanya fanya mishe za kuzamia uko katika jiji la ontario

Najiona nimeridhika Sana na hapa ninapofanya maisha haki…

all the best budda

mkuu wa ushakua mhenga sana ukae tu Tanzania hahahahaha

umejuaje mkuu? kule kumehalalishwa jana tu kutumia huu mmea bado Australia

Pamoja sana

Ingia fb tafuta Ask Kubeir Kamal Canada migration

Hata Tanzania nilisha hama, skuizi nipo huku Ushirombo…tehteehhh

Duh! Hawa Wacanada sasa wanakoelekea si kuzuri…

Ngoja niende huko nikavute weed kwa uhuru sio kwa kujificha tena!

Mie hapa Kenya nilipo pananitosha

Hayo masharti sasa utafikiri unafanya usaili wa kwenda Mbinguni,njia rahisi pambana uwezavo kama ni mwanaume upate mchuchu wa Kikanada na kama ni mwanamke upate mchururu wa kikanada hizo zingine ni ngumu mpaka basi unaweza ukafika mpaka mwisho ukavuka stage zote unakataliwa mwishoni yaani ni pasua kichwa sana. Yaani wao wanataka muhamiaji uwe na kitu special sana kama pesa, akili, kipaji nk machokoraa hawatoboi ndio maana waafrika magharibi wanaamua kujilipua tuu kwenye boti wakazuiliwe hukohuko kwenye fukwe za mataifa hayo.