Kwa wale wanaume waongo waongo tunakumbushana tu kuwa Leo hakuna Kombe la Dunia ukitoa boko ni Shauri yako. Tusipigiane simu kuomba msaada
Oh
Ha ha haaaa…wengine hata hawapendi mpira…kisingizio kombe la dunia ili wakabandue michepuko yao
Wanaume tunapendana…nimewakumbusha wasiharibu
Ndio nimewasanua…ila wasingizie cecafa
Na sie umetupa njia ya kujua haya
Hahaha kumbe nimejenga na kubomoa
Kwa hakika sababu sikua najue leo hakuna mechi
Safi kabisa…
Kazi kwao wale waliokwisha danganya kuwa wiki nzima hii kuna mechi…
Kwa nini leo hakuna mpiraaa?! Aaah!
Kulikoni mshtuko mkuu…???
Pole kwa yanayo kusibu mkuu, jitahidi ukaze moyo hadi msimu huu wa kombe la duniani utakapo kwisha… tehteehhh
Oooohhh ushaharibu mipango wewe
H
apana kitu nimefrah tu kujua leo hakuna mechi sasa nasubiri kudanganywa
hii itakost wengi kweli…
Ipoo kagame
Aaaah ipi tena crush wa zamani?
hahahaaa
Hmm!..