kwangu sikukuu ya iddi ilikua ni ivi......wewe kwako ilikuaje???

[ATTACH=full]176588[/ATTACH]

Aisee…mbona mtandao pendwa…

ndio habari ya town matheeee

Kwangu ilikuwa poa
Nalog off

Da Daaaaaah khanga si ya demu wangu nanihi hiyo,na Eid aliniaga anaenda kwa aunt yake.

ndio nishamla tena pole kwa kuongopewa

Ulivyo bahili sijui km alipata hata nauli

mambo mengine wanionea tu kwa kweli
hahaha

We ni nyokooo…hufai hata kwa kulumagia

:slight_smile:

muda wa kulala huu

Duh

Kipigo cha Mbwa koko

yaani weewe!

Amekukosha eeh?

maneno ya Tramp na yawe juu yako

Chombo hicho

haya bwana

Ilikua ni vilee

hapo sawa kaka, lakini naamini warembo wa bongo wazuri sana, huyu sini kawaida tu…