Kwani daktari wa nyama alitupwa siberia??

Naona ametulia huko na ng’ombe yake … Hata kijiji imetulia.

[ATTACH=full]248744[/ATTACH]

ION, @Motokubwa khalisha makende huko uliko. Liwe liwalo @administrator apana rudisha hii khasia huku until 2023

@administrator = @Meria Mata

Hakuna siri?

That cow looks Malnourished.

Kukamuliwa kamukamu bila hurumana hizo jangili Kush ametaja

Kenyan style.

Hehe … kwanza huyo mujamaa wa first

Na umecheki @Mwenye ng’ombe?

amepotelea Kiambu town kwa yule mama mganda.

:D:D

It’s in the public domain. Amenunua kijiji.

Naona biashara ya u.turn boy haipeleki huyu mujamaa mbaya

:D:D:D

Kwani KTalk imekuwa hot cake. Kabla @Purple amalizane na sisi @Meria Mata ashaichukua… Good for him. Epitaph inaendelea kung’ara

Nigwacheni

Ghassia apana sumbua semeji

Sawa tea boy. Nmewacha …