Hio ya case ya polisi ni kama walikuwa wanaharass mama wa kibandaski atoe kitu kidogo akawambia hana cash labda wapewe free food.
Hapo ndo waliletewa kipindu marinated with stew, they enjoyed the food hadi wakaitisha sosa, wakaongezewa pindu ingine, kwa jumla wakatoka hapo wakiwa wamekula kipindu pindu.
Have a good day.