Kwenye house decoration, kwanini Africa tunapenda artificial flowers?

Kwenye mapambo ya nyumba Waafria tunapenda sana maua ya bandia lakini wazungu wananunua au kuchuma fresh flowers.

Hata lile ya la valentine jamaa amenunua Mlimani City tena linawekwa kwenye kabati la display sitting room.
Mzungu kila mwaka atanunua ya fresh. Sisi ndiyo walimaji wa Maura, kwanini tumekua waters wakubwa wa maua ya Wachina?

Mi napenda interior designs pekee and some realistiki paintings[ATTACH=full]179199[/ATTACH]

[ATTACH=full]179192[/ATTACH]

[ATTACH=full]179195[/ATTACH]

[ATTACH=full]179196[/ATTACH]

[ATTACH=full]179198[/ATTACH]

[ATTACH=full]179200[/ATTACH][ATTACH=full]179197[/ATTACH]

[ATTACH=full]179194[/ATTACH]

Mkuu ndo unapoishi??

Mwenzangu kama peponi

Wengine wanaishi kwenye nyumba za kupanga zile ambazo vyoo havina hata paa,hapa lazima washangae

One day

Lkn hata hao wadhungu wengi wao wanapenda hayo ya bandia, mimea iliyohai inahitaji uangalizi na matunzo kwa mtu mvivh hata weza,

Hata huku kwetu Kwamtogole ni nadra kitu kama hiki.

Hivi ni kweli unakaa mbagala??

Hapana Kwamtogole ni Tandale

Kuzuri au sio?Nyumba yeyote ni interior, na ile interior sio expensive vile iwapo uta importi

Yaah interior pazuri chief

Hata yale ya kwenye vyungu pia hatuweki, tunanunua vyungu na kuweka plastic roses

Kwanza biashara ya kuuza maua fresh kwa ajili ya sherehe sijaiona hapa bongo na hii ndio maana wengi wanapamba kwa maua bandia.

Huwa napenda sana kuangalia harusi za Kenya wenzetu huwa wanatumia sana maua fresh.

Ua/mti/pambo fresh pekee TZ nililoliona linadhaminiwa na kupambwa sebuleni na kwenye hafla tangu utotoni ni mti wa christmass

kwa namna hii, huwezi kunya mavi hata siku moja,

Hata hivyo pia siku hizi wengi hawa wengi hawaweki, wanaweka la dukani.

Aisee! Mambo ya fwedha…

asa utakunya nini mkuu

atakunya almasi