L.E.D lights

Of late ive been obsessed with led lights from cars to bikes running DRl (Daytime Running lights) houses with gypsum decorations fitted with led rgb strip lights . napenda sana.

So after watching like all YouTube videos I was thinking I can do my house a simple gypsum with daytime running lamps lakini nikaskia there are fake ones that are super bright and irritating and they tend to go dim with time. So nauliseko ni aina gani msuri ya hizo strips and how to identify the knock offs.

Jaribu www.nerokas.co.ke

Lakini Philips hue bulbs na lifx bulbs bado sijui any company that sells in Kenya. Maybe you import them

LED RGB lights si nyumba itakaa kama duka ya Luthuli? Chagua rangi moja na ukwame nayo

I have the rgb for tv… yenye unaweka nyama ya tv

according vile ninesoma kuna digital RGB led light which has a chip that controls the light . the colours tune slowly changing the mood of the room… sio zile zinablink a thousand times in second.

Bado itakaa tu Umoinner…lakini kama wakoloni walivyosema, ‘mbeuteh is in the eyes of the bulb-holder’

@Jazzman naona thread hiyo ya survey imekuwa pulled down, hii ngombe ya kimilili ilikuwa na bahati leo. wacha nilale

Go for warm white. Na ukitaka design ya gypsum you can holla

Hii nyama ya tv ni gani unakula peke yako?

Hii nyama ndio gani? Nataka nipatie TV yangu iwache kumeza mate while yako inakula

Nope…this are kinder different, za Umoinner hublink thousand times per second but hizi hutransition polepole…and si bright sana

Labda mie ndie sitofautishi…Kama wabeberu walivyonena “Poteto, potarro”