How is ur labour day . .mimi huku kwetu tumechill tukiuza cabbage na kunywa coffee na marafiki
[ATTACH=full]4633[/ATTACH] [ATTACH=full]4634[/ATTACH]
sweety attach picha vizuri ama nikuje hapo nikut*mbe
Purr, nikam niwajoin? btw 27 is my lucky number
[ATTACH=full]4615[/ATTACH]
Error kwa mbicha purr
old monk ku upload picha inanishinda
Hehe naona watu wanajitetea mbaya … lakini i always have a soft spot for @Purr_27 …dear when yu are done with @Tig nitafute dear
huyu mwanamke ananifanya mambo
nategea hiyo picha I cast my wonderful eyes
ha ha ni ya mboga na imekataa ku upload kabisa
bado tunangoja
ibembeleze ikubali ku-upload, hatujachoka kungoja
ninangojapoa
Ni mbao …guess yakushikilia
http://33.media.tumblr.com/tumblr_lmln78A40J1qhub34o1_400.gif
http://www.kidsmomo.com/wordpress/wp-content/uploads/cat-look-left-right.gif
@Purr_27 wewe hukunywa makali? Njoo kasa nimenunua mzinga ya napoleon crown nasskiza mixtapes hapa! That thigh reminds me ile wakati mimi hukua sonford and sons mimi hukula fries na thigh ya kuku! Na nikuulize ma tangu lini coloured drink( am assuming ni whisky rum ama brandy) ikakunywa na slice ya lemon? Hio iko reserved for colourless drink kama vodka ama gin just wondering out loud
Shida za probox ni mob hata @dr Luther hawes saidia
Hiyo ni kahawa . .za cup zinauzwa ten bob, hpe si mimi umeita kuku
No sio wewe purr