Lakini saa zingine ?? Is so funny yet sad

So kuna uncle yangu flane amenichapia nianze waks kwake… Ya Mjengo. Kuna plots room kadhaa anadai kuinusha… Yeye ndie boss …

Anyway niko nimefanya siku tatu hapo bila kujua fundi wake ni mtu mavyongo yani blale ghasia…
Ninja nikaa intension yake ni greed for money juu tumeshona wasee mob huko aje :D. Sasa jana tulikorofishana kidogo juu Niko niliweka kamba vibaya…Hii stuff ya kufunga kupima u straightness wa hao… mimi ni yule msee unafaa uongee pole pole sio ku raise sauti for nothing such as kitu kidogo hivo…
I told him, wewe unashout kama mama akona mimba…
shait :smiley: Sikujua ameweka grudge… sasa siku ya kuamkia leo amechapia msee mwingine wa mkono eti aniambie leo nilale kabisa…

Dude?? smh kwani yeye ndio aliniita?
Kitu hata nimekanyagia ni vile pesa zinapitia kwake kutoka kwa uncle yangu…

I swear kesho nitaenda nifanye vile majority of ktalkers wataniambia… Mimi kuna siku nitajipea kazi ya kumaliza wamama mens …
I swear this random fuckers are going to swump us.

Mtu wa mikono au ni wamkono,sasa mafundi hawatapumua juu uncle yako anajenga ??

RUDIA MARA KUMI

PLUMB BOB
PLUMB LINE.

let it sink

@Randy Uko wapi

Nyenyekea io site si yako … mimi wasee wakuleta kiburi kwa site nawafukuzanga ngware.

Sasa mumenijibu swali yangu kweli?

Chukua zile viatu yeye huja nazo job before he changes into attire ya kazi,jaza viatu wet cement na uanike kwa jua

Ile siku utaekelea shovel kwa mgongo ndio utajua hao majamaa hufanya kazi na nguvu ya bangi.

:smiley: :smiley: sawa

Kwani pia wewe ni E+ material,pambana na mjengo young man.

:D:D Mkubwa, E+ tena?

Uko in that site kama nani? Site Eng… Fore man cum fundi, Store keeper ama unawapikia? Help me understand you nkupatie the way forward.

huyo fundi ni mtiaji kama @Randy ,tusi yeye hubwer,malaya,tucker tucker,hakuna mahali atapeleka wewe

Nyoka mdaku! Alafu akivutwa kazi utamwandika kwako? Tell him the truth mtu wa mkono kusomewa na fundi ni kawaida. Awache kujisikia sukari juu site ni ya uncle yake.

fuunda wewe, na unadhani uyo fundi aliletwa na nani? bwana mkubwa kuliko ango wako, nowonder yeye ni fundi na ww mtu wa mkono

Atumie hio handle yake vizuri kugonga misumari kama anataka kitunguu.

Someone ataumia hapa , either the fundi will do something silly and claim you caused it at that point your Uncle will have to chose on who need to go or fundi atapanga kwa works zile ngumu kabisa.

Ondoka kwa hiyo site na uende kabisa.

kumbe hii site imejaa peasants wa mjengo tu…very sad

Thank you for acknowledging the presence of peasants.
One thing I have noted with some who had tabia kama zako is that you are here for the likes and very soon you will start shouting " HEY LOOK I AM NOW A VILLAGE SPONSOR "
In most of the villagers eyes wewe ni …,…

mimi ni mzito baba…ask around