hows your going by?
yangu imekua tu sawa na nilionelea niende Naivasha land of brown teeth and MONKEYS
tulipatana na Ktalker wa huko wakiwa na wife wake
niliamua kuchapa mzururo kiasi kiasi
[ATTACH=full]3025[/ATTACH]
inside
[ATTACH=full]3026[/ATTACH]
alaf nikapatana na wife number 2 wake… semma miguu kuparara
[ATTACH=full]3027[/ATTACH]
later nikampata kwa counter na wife number moja… walikua wana bargainia mandazi …
[ATTACH=full]3028[/ATTACH]
following day nilimpata wera tao aki hustle
[ATTACH=full]3030[/ATTACH]
[ATTACH=full]3031[/ATTACH]
punda milia zimejaa ajabu… haikosi amekula nyama yake pia
following day niliamua kuzurura kwenye yeye hufana works officially
nilipata nduthi yake imeegeshwa hapo hapo kando job
[ATTACH=full]3032[/ATTACH]
[ATTACH=full]3033[/ATTACH]
finally alinionyesha company yake kali sana
[ATTACH=full]3034[/ATTACH]