Land search Mombasa County

Nataka kubuy ka shamba pale 001…billionair nisaidieni na contact reliable pale Lands Registry Mombasa

NLC, 001 County Lands Dept na pale Bima Hse… wahuni wote! Chunga tena sana

Nashukuru kiongozi