I forgot to say that they are also safety hazards for pedestrians and the driver unless it is installed by the car manufacturer. A car is suppposed to crush in some profile in case of a collision.
Wakenya mko na ujuaji sana. Gari ni lake and he knows why ameweka bullbars aina hio. Si pia nyinyi mnunue landcruisers zenyu then muweke zile mnataka. Sio kila mtu ako na mashidashida hivi hivi. Maybe hio ni gari yake ya weekend akienda in the bundus hence those bullbars. Are you saying yeye ni mjinga to fit a 10 million car with those bullbars?

we mtu wa Kawangware hivi hivi, pia wewe unaongelea mambo ya landcruisers?. Nyinyi ndio wale maboys wa mtaa mkiwa chini ya mti mna diss msee ako na gari mkebe na hata bicycle hamna. SMDH