Lanye neighbour kuuza Nyau.

Last week nikiwa nimetulia Kwa kiti mlango ikabishwa, kufungua ni dem mwingine thick mbaya sana, curvy na yellow yellow. Ni dem neighbour na Hua tunapatana Kwa gate lakini hatujawahi bongs. So nikisafisha mesho nikajiuliza “Sasa huyu anataka nini kwangu?, Maybe ni loan anataka?” Dem akasmile Na kunishow kua anataka kuenda tao lakini phone yake haina charge na bado hajabuy tokens so ni charge simu. Akanipea phone na charger. Phone ilikua iPhone 6 kama ya @Kanyamz aka @Peter Mollis .

Nikaingia Kwa nyumba Na Kulick mlango, nikaweka simu Kwa charge na kikaendelea kuwatch Movie ya kiarabu yaani Slave masters Wa @kush yule mnono . 30 seconds after kuweka phone ya slayqueen Kwa charge ikapigwa na “Kuguks TRM DRIVE” then simu ya pili “kama Wa butcher mwiki” theeeen “bike Wa mayai boilo” nikadhani maybe ni Deni za wenyewe anakumbushwa. Kidogo kidogo ama zikaingia kama 6. Huyu dem sijui Ni ujinga ama ni nini simu haikua Na password nikuslide tu una unlock. Nika unlock nikaanza kupitia messages, nikaona ama moja ya unknown number Ati “naskia unauza nyau? How much?” We nikaona hapa wacha nijipe shugli.

After an hour dem akanock mlango na kuchukua phone skismile akisema Aki asanti Sana sijui nitakulipa Aje juu ya hii favour. Then akasema " kesho nitembelee nikupikie super ndio tujuane na akawink" The following day ilikua Sunday nikachorea kuenda local kuwatch Ball, nika relax tu Kwa keja nikiwait gethaa ifike. By 7 nikakimbia Kwa wines nikachukua ka-wine Na nikaenda Kwa dem. Kwa mlango scent ya food ilinikaribisha. Fast forward nikaserviwa pasta Na minced meat. Kama najibonda dem alikua amekaa Karibu Na Mimi akinipapasa mgongo Na kuniuliza food iko Aje. Nikamshow food iko chonjo, hapo ndio [SIZE=1]aliniambia kua hio nyama ni ya paka, yeye huchinja paka Na kudistribute kasa mzima Kwa wasee nyama kama ameisiaga.[/SIZE]

https://www.youtube.com/watch?v=BfkxdKYfNfg

Uko na ushiet.

@Makonika hajawahi pata ata sister in christ wa jehovah witness akibisha gate mpatie tips. :meffi::meffi:

:meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi:

:D:D:D:D:D

:D:D:D
Unasema nini, ata mama wa kufua hunichorea.
Saitan.

:D:D:D

:D:D:D nice echayer

Unapenda sana hii picha, wewe ni gay?

Does she slaughter it herself?

Autocorrect…this shows u use this word so much:D:D

Libido diluter:D:D

Umama high grade, happy mothers day:D:D

Fisis take charge of their environments, usikubali dem akukatie. Again happy mothers day.:D:D

Umeffi…:meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi:

Ummeff

ndo maana ulibanniwa…ujinga yako ni mbaya sana

hekaya swaff

Staff Member… …“ukapapaswa mgongo Na kulizwa food iko Aje”?? Ukamshow food iko chonjo,!!!
alafu akakwambia ni nyama ya paka???:oops::rolleyes::D:D:D:D:D:D:D:D:D…
[ATTACH=full]230065[/ATTACH]

Maaaviiiiii!

Si ulikatazwa kuenda kwa nyumba hulipi

humbwer,ghaseer,takataka…

Hakuna haja ya matusi, Kuna ignore button. Pervert u