Why are these creatures so lazy?Kuna arif wangu,anatoka zile familia old school,mahali unapata first born is in 60's,last born unapata ni agemates na watoto wa first born,yaani hawa last borns ni wazembe.Unapata mzazi alishakimbizana na wale wakubwa,haka kalikuja tu wakati wazazi wako lonely,hao wakubwa walishaoa


