madze nimeenda kibandaski nkapata hii ndio food imebaki.but sijifungi wacha niweke foundation sababu leo ni ile siku
[ATTACH=full]120421[/ATTACH]
Is this for a grown up man or “ni ya kutega panya” tu:eek::eek:
:D:D:Dlazima kwanza niweke matandiko na yenye iko kabla nipimishe nyama baadaye
Funny thing siezi imaliza
you got to be serious…na unakula chapo???s
There is a restuarant posted here though sina link,of a restuarant in majuu called ‘matahíko’
Like it but stupid chapos look burned. Cannot stand them.
yea man.nimepata my fav imeisha but later nitakula p[oa kabla nianze brown bottle
@culture re hizi standards watu wanajiekelea ni za nini sasa?? Hizo chapo ziko sawa… especially being za brown. Watu waache maringo ya bure
Afro if that sweep is meant for me, umenoa. No time for Chapos kwangu and if they are burned…pls endelea
hapo sasa.mimi sinaga maringo.thats y ata naingianga maclub zingine za mabati.sinaga class.simplicity is my principle
As for me,i tend to blend in with all worlds since i’ve had friends from all walks of life
blessed
lakini hiyo chapo inakaa imekauka sana mblo
hii ata mimi cwes shiba aki :D:D:D
kwanini and he is enjoying them?
I love Kosewes food. I am now homesick. So clean and well prepared. Ngai Jeso.
NAWACHEKI TU
Coz I have seen berra chapos made in Kenya where women are now putting sijui malenges to make them softer. Okii I am more Ugali oriented.
Umenifanya nahisi njaa. Am salivating