Late TBT

Muziki ya pwani
Hebu weka ile Hua inakubamba.
Hii msenangu ilifanya nijifundishe kigiriama
@Liberty @Yollo @kingolonde @Cogito ergo sum @Kasighau @inzhener otmetka @kaki86 njooni hapa

https://www.youtube.com/watch?v=Z44fa-jQ6rg

There werea programmed in Citizen Sato aftys. Those Mama’s lyrics were very naughty

  1. Mtoto singuo utaomba mtu
  2. Ndogo ndogo, ewe sikidogo
  3. Nyambura nakupenda like fish and chips
    etc

all by them mushrooms.

NB. Wil post the clips later. Niko kwa barabara driving frm work.

Leta hata kasuku by maroon commandos + Embakasi by mangelepa

https://www.youtube.com/watch?v=PPxHS6GSRVc

https://www.youtube.com/watch?v=Y0Q3jbJpXUg

Hapo sasa

https://www.youtube.com/watch?v=ptpMH9F3HLE

Shauri Yako, super Mazembe

Kama grandmother yako alikuwa na hii we we ni rika yangu[ATTACH=full]105647[/ATTACH]

https://www.youtube.com/watch?v=o02eQY-bJWE

https://www.youtube.com/watch?v=c0QPvSeP2LA

https://www.youtube.com/watch?v=r0TJdeuiOzI

Mkubwa hio ndio nini?

Hio nikama fridge, chakula leftovers zilikuwa zinawekwa hapo.

Uliwai kula tule tuNdege tudogo wamaragoli wanaita Isindo? @Antonio Mascaro kuja useme venye mlikuwa mnarusha kwa moto kakiwa hai ati ni appetizer ya supper…

Unaingiza mkono ndani unatoka na piece ya nyake.

Haipikwi na mafuta, ni tamu sana.

Hio kakitu sikuwai kula. Nilikuwa naskia mbaya sana wakikarusha kwa moto kakiwa hai…

Kanadungwa miti kwa matako kakiwa na feathers unakarusha kwa moto ukipindua pindua hadi kana roast vizuri.

Hizo tumechoma saaaanaaa. From moto ni kosoliza ijumbi, 2 bites na tonge moja ya sembe and just like that, bila mazishi, isindu was gone with the wind.

corrupted version ya high school ilikuwa:

Moi ni mwarabu, bibi yake ni mnandi (x2) …
Abdalla … amesimama wima (x2) …
I want that ka-something, sio kwa ubaya …

Aluru…
Tamu sana.