Lato milk

Detectives from the Anti-contraband and counterfeit goods unit on Saturday nabbed six lorries in Uasin Gishu County ferrying Lato milk believed to have been illegally shipped into the country.
The lorries were found carrying 13,000 cartons of milk estimated to be worth Ksh.7 million.
https://citizentv.co.ke/news/six-trucks-impounded-13000-cartons-of-contraband-lato-milk-nabbed-in-eldoret-311830/

Hapo Kuna mtu akufikisha hesabu.

m7 ngoja uone akiretaliate

competition ya brookeside lazima iangushwe… hawa wasomali wanajua kupenetrate into established markets vizuri sana , naskia isili was okuyu lands and they bought them out , sasa wamekuja kukula pesa ya brookside & succeeded …

This brand of milk is in almost all major shops in western region. Hii si mambo ya ushuru

Natumia Lato siwezi patia uhuru pesa nikinunua brooshiet milk. Hii maziwa ni poa sana.

@LuandaMagere can you explain further the Somali Angle. Hii maziwa so ya Museveni?

mimi sinywi chai ya maziwa. maziwa ina chemicals mbaya kwa afya, zenye huongezwa na parasitic capitalists.
Viungo zangu za black tea huwa tangawizi mbichi, mdalasini, karafuu, majani ya limau na iliki. Hapana tambua maziwa hijatoka kwa ng’ombe direct
.

Mimi lato inanipea nausea ingine mbaya sana…na after taste ya mayai mbichi…even when it’s made in tea. Sijui kama ni muuzaji carrefour aliuza batch mbaya ama shida ni nini

Labda hiyo ilikuwa milk powder + water. Lato iko poa sana.

I also get the raw egg smell when I use milk powder on cold water.

Hmm…where do you get yours…nikama ni mimi tu napata hio reaction, everyone else is in love with lato

Mimi niko Western. Lato is virtually everywhere.

maybe they are just a conduit , siko sure ? …the warehouses where hio maziwa inawekwa ni ya wasomali …and… they’ve been selling hio maziwa chini ya maji for a while mpaka wamama wa mtaa knew the place , kwa wariah …

Plan to reduce western kenya population loading…

Unakopa mshwari ununue lato ukidhani umehepa Uhuru…hehe

:D:D:D:D:D mshwari ni nini?

Em shwari:D