Life is short lazima tuwache watoto kadha
[ATTACH=full]340109[/ATTACH]
Harakisha kabila upewe title ya marehemu/mwenda zake.
All the best
Huyo amepitiwa na squadi yote ya Mbogi Genje
Kuna yule jamaa alileta kifaa ingine hapa ati after bibi kukuliwa nje. Kumbe twas jumping from a frying pan into the fire.
na krik hakuna kitu
Hii nini?
[ATTACH=full]340118[/ATTACH]
[ATTACH=full]340119[/ATTACH]
Naina ako na Sanpaku eyes. Tread carefully, as you should be doing already.
Godspeed brah.
[ATTACH=full]340120[/ATTACH]
Sanpaku ndiyo nini?
Hiyo Sura inaweza act horror movie bila make-up.
Unaona mtu anavaa nyororo na wewe kama jambazi unapeleka mapenzi hapo?
Kuja na jaba nikona krest
Mimi sio ruminant kama wewe.