Leicester imeuwa nyoka.

mishale

Village Elder
#2
Panalty and own goal ,goal ni goal.
apo sasa.
kila team hii season inadepend na players kathaa.
wakiwa inje, team mzima iko nje. (Kane na Son hawakufunga bao)

wacha mourinho alale akijua Man Untied iko juu yake after kuwachekelea wakitolewa Champions League
 

Top