hii stori ya kuwafukuzia mabinti chizi wacheni…
2 Likes
bullshit
Melody tamu, shairi poa. Ngoma imeenda shule sio kama hizo upuzi za akina godfather sijui akina nani
1 Like
WEEE SWARA HUU WIMBO WA UFALA NAKUMBUKA UKIPOST KLIST PIA SCHUPID
at least u rembr:D
whats the message…
sikiliza kwa maakini mwanzo