Leo macharia wa hadithi amepatikana!

[MEDIA=facebook]1447279502262775/posts/2921411671516210[/MEDIA][ATTACH=full]345237[/ATTACH][ATTACH=full]345238[/ATTACH][ATTACH=full]345239[/ATTACH][ATTACH=full]345240[/ATTACH]

A very long day…

Kwani amekuwa mwizi wa street lights?

Shilingi maua,tena yaua

Niaje Kimakia?

Macha sio mwisi, anauza gas pale thika

Sio yeye…

Hio hesabu alikuwa amepiga imekataa kuingiana.

Kama akuna mtungi ya gas, huyo sio @MachariaWaHadithi

Githee ata wewe ni mtu wa kusema “Akuna”.

Kumbe ni kubaloon tu na akili hamna

@Thirikhasia niwache

Huyu ni @johntez addi gaza msafi

Huyu ni @Jambazi1234

hehehehe