Leo nawapa ofa ya mswaki

Ili msiishie kuwa ka wale madem walio dump Bill Gates when he was a sufferer.

Ama uishi ka aliyemtia Afrika mimba ya umasikini na bado asubiri amzalie madini.

Mie yule yule.

Na kwa wale hawana meno kama @Guka itakuwaje?

:D:D:D @GUKA apewe hii ashikilie nayon mdomo
[ATTACH=full]127736[/ATTACH] [ATTACH=full]127736[/ATTACH]

@uwesmake mtu wako amepost meffi, kimbia huku