Leo ni mwaka mmoja tangu shambulizi la kutaka kumuua Lissu

Wakuu leo ni mwaka mmoja tangu lile shambulio lililoandaliwa na kichaa Magufuli, Bashite na kundi la watu wasiojulikana. Tumuombee Kamanda Lissu Mwenyezi Mungu aendelee kumponya na kumpa maisha marefu ili aendelee kupigania haki, uhuru na maslahi ya Watanzania AMEN.

https://www.youtube.com/watch?v=UIltkeU50UI

Tunamuweka kwenye maombi

Amina

nasikia jama hata leo wame vamia kigamboni mahali ambapo ilikua imeandaliwa shughuri maaluma ya kumbukizi ya tukio hili la kishetani juu ya lissu.

kwamba hadi leo jamaaa bado hawataki sikia jina la lissu likitajwa mahali.kwamba sasa imefikia mahali ukaitisha kikao chochote cha kuhusu tukio la lissu hata ilkiwa chumbani kwako jamaa wakuendeshwa kama punda watakuvamia tuuu

Lissu ni tishio kubwa sana Mkuu si kama yule Lowassa, “Msinigombanishe na Rais muacheni afanye kazi” hata sijui kwanini harudi CCM maana hana faida yoyote ile Chadema na kitendo cha motto wake kugoma kuchukua form ya kugombea Ubunge Monduli kimeacha maswali mengi sana. Sijui kama huyu atakuwa bado yuko Chadema ikifika October 2020. Anaweza kurudi kule kwa kuahidiwa mengi sana ikiwemo nafasi ya Uwaziri Mkuu kama afya yake itakuwa haijatetereka au kuongezewa posho yake kama mstaafu kwa 100%

Kuhusu mtoto wake kugoma kugombea ni hofu ya familia yao kuagopa kuashindwa uchaguzi,maana wanajua ccm hawezi kuruhusu upinzani kushinda.

Nakubaliana na wewe kua ni swala la muda tuuu jamaa kurudi kwao,ili azikwe vizuri

Tumombee Tundu Lisu. Mungu waangamize wabaya wake