leteni reviews

#1
as you know sparta napenda documentaries and History...

sasa nimekuwa nikufollow history sana usa funded war na drug bussines...

the movie American Made based on barry seal life, thou it was dramatized kiasi but uyo jamaa alikuwa noma in real life...

hakuna kitu hakuwa ana smuggle from panama to USA ..

USA yani ilikuwa inalipa manuel Noriega ku spy hadi on fidel castro, halafu kulipo umana ikabidii wamemugeuka na akawekwa ndani....

barry seal naye ile blunder alifanya ni kupiga pablo escobar secret pic aki load cocaine....then pic ika anikwa kwa national TV...

yani barry seal alikuwa ana lala lojo different for over 9 months lakini bado alikula bullets ....

hakuna snitch husurvive...
CIA ya usa ndio maffia wakubwa wanakuruka kama vile mafisi huruka madame wakipataa ball.

halafu how comes this guy walikuwa na pesa mingi wanaona option ni kuzika pesa back yard...halafu hii pesa state ikishika huwa inapeleka wapi?

kama umewatch iyo movie leta reviews zako
 
Delus

Village Elder
#2
CIA hutumia drug money kufinance operations zao since operations huwa expensive sana.

He he wanazika pesa juu ni ngumu kuingisha kwa system vile zilikuwa mob although zingine huwa zinafanyiwa money laundering zikuwe clean money.

Most drug dealers na mafia husafisha drug money kwa betting na betting sites.
 
#4
Watch American War on Drugs uone vile Bush Senior was in the middle of all those scandals, aliwahi kuwa CIA head, Barry was also a CIA pilot, but its a plot ni woa walimfinya juu ya kurpokwa, Reagan turned a blind eye to the crack epidemic as they funded the contra war
 
screwplus

Village Elder
#5

Sad sioni nikiwatch this year during this time my TV schedule imejaa na such shit hunimess my whole end year mood...so nope had I next year posted to that effect...
1507134324455.jpg
 
#7
CIA hutumia drug money kufinance operations zao since operations huwa expensive sana.

He he wanazika pesa juu ni ngumu kuingisha kwa system vile zilikuwa mob although zingine huwa zinafanyiwa money laundering zikuwe clean money.

Most drug dealers na mafia husafisha drug money kwa betting na betting sites.
CIA na aim yao huwa kueliminate not to arrest,halafu hawa DEA kwani wako dunia mzima

l like how DEA walitumia jet ku tail plane za akina seal halafu wakaenda open sea wakareduce speed wakaweka auto pilot hadi one of the pilot akalala :D jet cant go slow speed juu ya kuchoma fuel ...ikabidii wame abort mission :D
 
#8
Watch American War on Drugs uone vile Bush Senior was in the middle of all those scandals, aliwahi kuwa CIA head, Barry was also a CIA pilot, but its a plot ni woa walimfinya juu ya kurpokwa, Reagan turned a blind eye to the crack epidemic as they funded the contra war
halafu unaskia ile pesa killers walikuwa wamelipwa killing barry seal 500000$ each wakiweza kumkidnapp hadi colombia 1000000$ each:(
 
screwplus

Village Elder
#10
iza bro...pia mimi TV time haipatikani...ukaona breaking bad nimechukuwa 4 years kumaliza juu sunday pekee ndio l watch....
AMC nao wameleta WD tunachill negan akatwe makende
Still have that(yes even bb sijamaliza vile kuna season I skimped through) +flash,Lucifer,lot and almost everything that dropped last week unwatched thanks to the southpark and shadow of war game...have few hours kabla ma related waanze ma trips....all of a sudden am being overwhelmed
1506686511276.gif
 
#11

View attachment 134273
wageni ni balaa

sasa kuna my uncle ashani ambia mtoi wake akimaliza form 4 anamtuma kwangu l mentor him

shida sasa hataki ata kusomesha mtoto ata computers after from 4

apo nimekataa bana
 
Join Chatpanda, Fastest growing social media website in Kenya! Get verified easily, grow your following, and meet like-minded Kenyans

Top