Letter to my bro who did #kcse2017

Dear Bro,

Manze Leo itabidi umelala huko mahali ulienda asubuhi juu sidhani Dad amekungojea mpike ugali ama mnadance Odi Nimejaribu kukutetea mzae atulie at least nikaulizwa kwani nataka kujiapisha kwa nyumba yake ikabidi nimewithdraw Wallahi, si mzae ameshtuka juu haamini amekuwa akiishi na ng’ombe mbili kwa nyumba na huwa hazikamui ( Me & U) . FYI, hata nimeskia akisuggest ati jioni tupikiwe Napier Grass juu yenyewe results zako zinaonesha wewe ni ng’ombe ya grade
Lakini surely bro, yaani uliamua result slip yako itakuwa na D mingi hiyo design ? Kwani ulifanyia exam wapi?? Btw kuna maneiba wanasema utawarudishia pesa yao ya kukununulia success card ati ungefaa utumiwe kamba ujinyonge tupatane Canaan !
Alafu saa zingine pia wewe hunibamba. Yaani, mpaka CRE ulikwachua D ! mpaka mzae anauliza ni pastor mgani anaeza kubali kukubatiza btw, nimesuggest, Kanyari …

Anyway, yaliyopite si ndwele lakini hii yako haipitiki, mimi sidhani utamaliza hiyo Driving juu mzae ameshatafuta Fundi wa kukujengea cowshed hapa nje Alafu, itabidi umeambia Kevo pia yeye asirudi home juu mzae wake anataka kujua kama kumpeleka chuo ilikuwa nikubet amebet .
caution buda! ukilala leo tunahama…

Stay Safe.
Urs truly,
Big bro.

upus

hahaa, funny

:D:D:D:D:D:D kali sanaa

hii kudance ODI ndio imefanye hii generation ya kina @MISCHIEF @sludgist @Art @Quanstrom ikakuwa na mafi kwa kichwa , matiangi yafaa aambie Uhuru aban hii kitu kenya .

Uhunye mwenyewe hudance hii style.

:D:D:D:D:D sisi kwisha hakuna future basi

:D:D:D:D:D

Hio odi wasee hukaa ni kama wako epileptic

:D:D:D:D:D:D

You lie, Kamwana has two left feet.