Natafuta mtu ameivisha kutumia OllyDbg na anaweza crack license verification ya ka program fulani kadogo… Ka unaweza kuna benefit ya maana fron hiyo program…
huku tunatumianga incognito…we judge people on looks na tunaeza kuangalia hivi tukose kukusaidia
Hhahaaha
hahahahahaha…
Torrents boss
:D:D:D:D:D:D Nimecheka machozi ikatoka.
Haahhaha. Sawa… Lakini wacha za ovyo…
Nani anaweza hiyo kazi anichapie asap
So far hakuna crack yake kwa torrents. Ni program ya kenya.
haha yani hadi wannet unataka kucrack? si ulipie hiyo 40bob per day ama 300bob per week
promote the nigga… ama tafuta proxy server yako pia wewe you configure kwa proxifer
ikinilemea kucrack itabidi sasa nimpromote huyo msee…
na kuna watu hapo juu vile wamecomment wako na shida…
kuna watu wamenistua hadi nimechange profile pic…
si ulipe anatumia private server maeby he can block you from using it
karibu kijiji…anyway you should appreciate that boniface efforts…wapi utapata unlimitted internet with good speeds at only 40bob per day na sometimes it runs for two days keep him in business akiwithdraw tutaenda wapi
true…promote a kenyan bana!
Vitu za Kenya we promote. Za majuu tunaiba