Lies that your parents or older siblings told you

#1
Of course, they were all in good faith. What did your parents or older siblings tell you? Do you still believe them?

Me niliambiwa:
1. Don't eat fruit seeds. Zitamea kwa tumbo zitokee kwa kichwa
2. Don't whistle at night, unaita nyoka
3. Ukirusha mawe juu haiwezi rudi chini (never worked)
4. Waganda are cannibals
5. Hahahahaha. Ati ukieka bag kando ya bed umelala "Baba Kristmas" anakuletea zawadi. I'm still waiting.
6. Ukikula liquid oil kibao kwa food, itatokea kwa rectum kama river. Still scares me to date.
7. Of course sote tulidanganywa ati tukilala we would grow taller.

Sema zako.
 
#15

Ukimeza mbiginjii tumbo itashikana
 
1776

Village Sponsor
#16
the blue flame in a rubbish fire - tumeseme utupe battery - ni shetani anajaribu kutoka.
whirlwinds ni devo akipita

if you look in the mirror at night utakuwa kinyambis...
 
Top