Lies that your parents or older siblings told you

suspect

Village Elder
#25
Ukiwekwa dawa ya macho hufai kufungua macho,this was done to us ndio tulale tuwache mchezo
Ukishaomba ukilala hufai kuongea tena
Ukilima then uwache portion ya round utaanza kuzungukwa na fisi usiku
Kukinyesha na kunajua ni harusi ya fisi
 

Top