LIFE AFTER DEPORTATION:Why do Kenyans like laughing @Deported Kenyans?

A friend of mine was deported recently from Germany. I don’t know ni blunder gani alifanya huku Germany but news on the ground is that he was deported na anacheza chini pale Kenya. No one in Kenya (except his family) know he has been deported. His friends and relaz know jamaa is on his usual Kenyan visits. It won’t be long before his secret is known.

Many Kenyans who had lived many years in the diaspora and get deported are always laughed at and mocked on especially kama mtu alirudi mtaa bila kitu. I have seen with my very own eyes a deportee nigga who had lived in the states for 20+ years turn to heavy drinking and drugs becoz of the victimization alipata pale 254. Wengine also comit suicide (especially mfemalez). The sad part is that the people who mock, laugh and tease u are your very own relatives and friends. Pple u used to send dollars/pounds/euros/riyadhs to pale western union.

Kenyans when u see a kenyan ako deported please cut some slack for them. Hamjui ile kitu msee amepitia during hio deportation process. Some one for example, who is bn deported from the states anarushwa ndani ya ndege kama gunia ya mahindi…isitoshe umefungwa pingu alafu two like CIA agents in suits wamekuweka katikati yao. Other passengers wanakucheki na huruma jo the entire flight. Kumbuka kuna mahali mta change/switch flights…una ingia a second plane with new passengers stealing glances at u nikama wewe ni terrorist. Unafikishwa JKIA unatupiwa kwa ma beast wa Kenya ati “ndo huyo meffi wenyu…ametusumbua sana America!!” is that not enough trauma?

East or west home is best

Ukiwa majuu everyone needs your help and is a friend

kumbe ndani ndani wanachomeka na wivu kabisa kabisa’

ukideportiwa ndo wanakuonyesha ule wivu wote ulokuwa ndani

kuwa deported uone venye mpaka tutaambia @introvert akuchore

Karibu nyumbani, @Jirani.

Riyadh ni townn/city future deportee. RIYALS ndo pesa.

Kama uliwacheka na kuwaita peasants,chokoras and shine eyes ukiwa majuu,watakucheka yao yote ukiwa deported. Thats life…

Msee ako kenya juzi tumeletana juu pale whatsapp jamaa told me to my face and i quote “utadeportiwa tuu”

oooh my bad…Riyals. hehehe naelewa kama uliringia watu then it’s ok wakikucheka

Sio mimi but u may never know it can happen to me later on in life

hio najua

najua but sazingine hio home huwa horror

Kwa hii kijiji kuna watu manaomba day next night Trump a carry the day. Wanasema I would like to see how his Presidency will be.
Lakini nawaona wakiwa pale Eighteen. Main reason this folks are looking forward for D.T is just to see some Relatives, old school mates, neighbors and so forth getting deported.
Wakenya jameni,

lakini kama watu wa majuu ni kama @luoamerican tutawakaribisha vumbistan…

Ka-Buda akiwa deported nitachinja mbuzi na nikunywe crate ya Pilsner.

I can laugh at a person’s petty misfortune online

Lakini in real life mi huogopa sana.

I think its devilish to do so.

Eti someone loses a job or contracts HIV halafu unipate na watu tumekaa tunamcheka? Hakuna siku

Illegal immigrant.

Crab in a bucket na humans only see the negative, mtu akikuenvy hata umfanyie uzuri gani atakucheka ukishuka chini. If it was me nahama naenda kuishi kule sijulikani na mtu na nakata contacts.

I think it would serve some pple right. mtu alienda majuu over 10yrs ago, hajawahii kanyanga +254 tena, mazishii ya budake hakutokea, harusi ya lastborn Siz hakutokea. no tangible investments huku, why shouldn’t such a person be deported?

harusi na si yangu

mazishi ya buda enyewe its bad. But sometime sijapata papers vipoa na kutoka itanimess. But msee anatuma pesa za kushughulikia matanga and all. Problem is, watu wametumiwa wananyamaza wanazila… Wasee wanachanga waki.blame @luoamerican eti hata hawezi kuja matanga saa hizo kuna watu wamekalia dollar zake wanazinyambia

People move and start afresh. The Immigrants who came to state from Europe never looked back. Walikuja ku-start afresh.

in the African setting, first born sons are highly regarded. In some places they might even assume family leadership roles even before the head of the house passes on. It beats all logic to stay in a place for over 10years without proper documentation. It means you cannot have meaningful life therefore you cannot invest, raise a family etc. rudi nyumbani!

hiyo “firstborn” … “african setting” … “leadership roles” … “rudi nyumbani” … ni wewe

haina substance.

Ni vitu huwezi quantify

Wana wivu aisee hawa wakenya pengine ni umaskini tuu ndio wafanya
Wawe hivo

There is a story here. Leta hekaya… Who did all that?

Back in the day, USIU had this exchange program in your final year unaenda kumalizia California. So this guy akaishia in 2002 then akaingia chini ya waba. Guy has never been to Kenya since, he’s born 77 so he’s almost 40yrs, n he’s not married(not that it matters). He is the first born and therefore a lot is expected of him. He has no investments huku at all, so the dad passed on like 3yrs ago and he din’t show up for the burial. His last born Siz had a wedding the following year and he was no where to be seen!
With an American education, I tend to think he could have gotten gainful employment had he returned to Kenya.