life is short - live it to the fullest

It was on 12th dec 2015. A public holiday. 12th December is used to celebrate when our country Kenya fully gained its independence. On that fateful day we attended a pool party. I with a couple of friends went to the pool party to enjoy ourselves and have fun. We went to the event at about 10 am. No one was present so we left. The organizer was the son of the owner of the pool and our great pal and wouldn’t charge us a cent. In return we would provide him with security if anyone was to start a fight. We came back at 11 some people had began streaming in. It wasn’t a big number but then it was all fine. We were to have fun anyway.

At about 2 more people came in. The fun now began. With ladies all over guys were active than ever lazima wanaume wasuguane donge? And of course with such a crowd of young people you expect alcohol to be in the vicinity. I dont encourage this but the good thing is that those who were drinking were not getting into the water. Wenye kuingia kwa maji we were sober asf. So there is this dude alikuwa anaitwa Christian. He was called Christian but he was the biggest sinner I know. Nigga used to fuck bitches like there was no tomorrow, smoke weed and shisha till you could see smoke come out from his ears. He was a drunkard too. A big one. He could mix five types of alcohol: whiskey, rum, brandy, vodka and gin and then down the concoction rarely did he get sick yet he was doing all this shit. He had millions of girlfriends so you can imagine the attention he got from women.

So I decided to have a swim and also dance. I called some guy and told him to stand guard to which he accepted. Mimi naye nikaenda nikaingia ndani ya maji. Almost wasee wote tulikuwa kwa mlango tuliingia swimo kuswim tukaacha wasee wawili wale hawakuwa interested na kuswim. Hapa na pale pale wasichana nao tushaanza kuwashika saa hio unazungushiwa rasa mbaya sana. Kwanza kuna mmoja alikuwa anaitwa Suzie noma sana. Alikuwa na ass ingine poa manze ile ya kubounce kama rubber. Unatingishiwa hadi unaapa huyu unaeza mkamua atii. So alcohol started flowing again. This time round shisha pia ilikuwa imekuja. So watu walikuwa wakichapa shots za chrome alafu wanaimalizia na kuchapa shisha.

Christian kama kawa alianza na kuchapa shots kadhaa za chrome na akamalizia kama amechapa shisha. Alafu akadai kuingia kwa maji of which haikuwangi advisable. Mimi mwenyewe sikuguza iyo chrome ama shisha nilimaintian my sobriety. Chris akavua alafu akaingia ndani ya maji. Funny enough hakuna msee alimwona akiingia kwa maji. Mi hata sikumwona niliona amevua akabaki na short nikajua ataingia kwa maji. Sisai hapo tumeswim tumedance na madame. Kiswahili ikarushwa selfie nazo tukapiga na madame tuupdate pale IG (kitambo nilikuwa engrossed na IG sana siku hizi niliachia ma salay queen). Kitu ilikuwa weird ni ati Chris hakuwa na yeye alikuwa mtu madame sana mahali madame wako haungemkosa. Tukadhani labda alienda home. Mimi huyo nikaamua nipige dive moja nitoke nitulie nje nikipigwa na jua. Na wenye wanajua ukipiga dive under water huanga unaendanga almost karibu na floor ya swimo. Nilipiga iyo dive kwa deep enda ya swimo, deep end yenyewe ilikuwa 8ft. Nikapiga dive, nikiwa ndani ya maji nikacheki kitu ya black iko kwa floor ya swimo nika assume ni ile outlet ya swimo yenye maji hutokea wakifanya recycling. Nikatokea iyo side ingine nikaenda kupigwa na jua nikidance riddim.

Watu wameswim wamebambika nini. Tushavaa hadi tushadismantle sound equipment tumeanza kujitoa. Ilikuwa kitu 5.30 hapo ya jioni. Swimo yenyewe hadi ishaanza kuekwa chlorine. Halafu tukitoka tunaanza kuulizana maswali ‘na Chris ameenda wapi?’ ‘Huyo ni kama ameenda mtaani’ nikawashow. Boy flani anaitwa Kevo kitu alisema next ndo ilikuwa weird. 'Zae haezi kuwa ameenda home akaniachia cladi zake, njumu, tenje na mkwanja. Tukaona turudi swimo tena juu hii ilikuwa noma. Tunauliza life saver kama ameona Chris juu pia yeye alikuwa anamtambua vizuri. Akadai hajamwona alimwona mapema kiasi akiwa kwa mlango na iyo ilikuwa beforr hajaingia kwa maji. Tukiendelea kubonga boy flani anaitwa Edu akaangusha tenje yake ndano ya swimo. Since life saver alikuwa ameshadunga boy flani alikuwa amekam kuswim masaa ya lala salama akaoffer kuiendea. Saa hio ni deep end 8ft na swimo ikona chlorine. Boy ameiendea kurudi akadai kuna msee chini ya maji. Life saver uyo ashatoa cladi akadive ndani kutoka juu manze ilikuea Chris.

Weeh hapo watu kidogo washindwa kutembea. Mimi mwenyewe hadi nilikuwa nimeshangaa sana. Kumbe ile stuff ya black nilikuwa nimeona nika assume haikuwa outlet ilikuwa short ya huyu msee. Alikuwa amekaa karibu sana na outlet ungefikiria ni outlet. Wasee washaanza first aid efforts nikaona huyu sidhani kama ako alive juu ile masaa niliona iyo short yake nikassume na hio masaa ametolewa ni mtu alikuwa amekaa kwa maji almost 1 hour. 1 hour kwa maji we tayari ushadedi msee. From the word go nilijua huyu msee hayuko. Wasee walimpeleka clinic flani iko hapa karibu huyo doc akatafuta heart beat yake akaikosa ndo akawachapia tu reality huyo msee ashasonga kwa baba. Wasee walilia walai. Ilikuwa sad sana yaani life ni fupi iyo design. One minute tuko na wewe the other minute ushatuacha manze. Tulichapia familia yake na mzae wake kidogo afaint. Mzae wako anakuanga na stroke. Na mother ya Chris alidedingi na Cancer Chris akiwa high school. So ilikuwa another sad moment kwa life ya hao wasee.

News ilispread kama wildfire venye Chris amesonga. Wasee hawakuamini. Madame wake nao walikuwa wakilia kama wote. Ilikuwa noma ndani ya noma. Mwenyr swimo naye alifunga swimo for some days juu ya kesi vile kuna mtu alidedia kwa swimo yake. Sasa kama atungerudi swimo ivo ndo Christian angepatikana amaefloat juu ya maji kesho yake. Every day tulikuwa tunaatend matanga yake tunachangisha dooh. Ilikuwa tu noma. Siz yake after kujua hiyo story alilia. The two were very close. It was a sad moment. Hata wasee wa nduthi wenye walikuwa wanambebeanga madame kuenda kwao wakati alikuwa anawakamua walishtuka sana. ‘Huyu si ni ule kijana nilikuwa nikibebea wasichana huku’. Chris alikuwa well known. So tuliendelea ivo. Post morten kufanywa ikapatikana Chris alikuwa na alcohol kwa mwili. So blame game kati yetu na familia yake ikaanza ‘Ooh mlikuwa wapi akidrown’, ‘Hakuna mtu angemsaidia akidrown’, ‘Na pombe yenye alikunywa ilitoka wapi?’. We understood the situation the family has lost a loved one and so they are pushing for answers which hatungeweza kuwapea vile walikuwa wanataka. Weeks later on 22nd Dec 2015 tulihire gari mraiya tukaenda hadi ocha kwao na tukamzika. Ilikuwa very emotional many people broke down to tears. After kumzika tukarudi home. Its been 4 years down the line bado tunamkumbuka. Familia yako bado inatulaumu for his death. Life is short live it to the fullest.

HAPPY SUNDAY!!!

so u guys swam wile drunk…

Kijana wa tajiri ameorganize bash babake atoe kafara lakini nyinyi hamkujua.

Poleni Sana. Izza joh!

Pole sana kaka brazza

Water is the only sporting plane that kills you if you don’t play while you are in it. :mad:

Sorry for the loss. Great narration though!

Poleni! Educative thread, now I know not tho jump in the deep end while under the influence!

Unakaa unayajua ya majini.

Poleni man.