life is what you make it

Life is so funny. Today I have come to realize that life is indeed funny.

Leo nilikuwa nimeenda Ruaka kukamua kunguru (villagers husema usikamue kunguru kwa nyumba hujui nani hulipa rent lakini leo niliamua fuck it hiyo rule leo sifuati). After nimeshuka mat nikitaka kupigia kunguru anipee directions za njia ya kuenda kwake nigga flani ilikuwa na harrier kidogo inigonge. nikitaka kumchachishia vile ye ni mbuzi juu anaendesha gari kama mwendawazimu nikapata ni ninja tulikuwa na yeye high school. jamaa alishukisha kioo nikaona kumbe ni yeye. story zikaanza ikabaki amenishow niingie ndani ya morenga tuende ivo tukichapiana. hata story ya kunguru nikachorea. Tulienda two rivers msee akabuy mzinga ya Belaire na Moet Chandon tukaenda keja yake. Damn this nigga was doing well in life. Msee anaishi in a 4 bedroom house fully furnished complete with a swimming pool, gazebo na hizo stuff. Sometimes money is good. Dem ya huyu msee wacha tu. To make it interesting this nigga in high school was as dumb as a chicken. Hell no he was an @Idiot but here he is enjoying life. Me na degree yangu kazi yangu tu ni kutarmac na kukamua kunguru kwa nyumba zao. Ushaikaa chini hadi ukafikiria mahali maisha yako inaenda. Apparently he helps his Dad manage some of the petrol stations he owns. Lucky nigga.

During the April holiday nikiwa Naks, I bumped into some guy pia tulikuwanga na yeye high school but alichujwa tukiwa form 2. He used to be rowdy in school, start fights and was a constant disturbance. He used to be punished almost all the time. In class he used to be the last one. Sisi wengine tumeng’ang’ana tukijua masomo itatusaidia yeye hajali. He was a DJ in some club huko Naks. He seemed to be doing good in life. I bumped to him on my way to the washrooms as he was coming out. When he looked back kuona ni ghasia gani hii inamgonga ivo akapata ni mimi. Jamaa alikam akanigotea akianza zile za “Boss we ni urefu tu unaongeza”. Namshow aaai zii. At the moment sikujua ni dj since i was seated in some corner nikicheki UEFA game ya Ajax na Juve 1st leg. Alafu msee akakam akamchapia " Ooh yaah msee kam umalizie set yako imenishinda hapo", probably aliachia amateur alishindwa kumalizia set. Msee alinibuyia hadi mzinga ya Grants ya 1 litre. He was driving a Shoebaru Forester. Yeye alimaliza high school tu ivi kama amekuwa DJ. Mimi hapa niko tu. Degree inakula vumbi kwa box.

Nilipata mwingine tulikuwa tukistay esto moja kitambo. Msee hata daro hakuwai kanyaga. Sisi tulikuwa tunaenda chuo yeye anabaki home. Nigga right now is a fleet manager of matatus plying the Kiserian route.

Where did life go wrong??

Anza kutoa tithe kwa pastor wenu my brother. Utaona baraka zikikujia.

Life is not all about books, we cannot all be bookworms. Kila mtu na blessings zake. But also take caution all that glitters is not gold.
Now wacha mushene and leta the original hekaya, vile ulitolewa kwa wenyewe ukiwa ndithi!

Watu wanakula mali ya wazazi yao wanakubabaisha? Wewe tafuta mali yako pole pole.

And for abandoning a girl so that you can drink belair you are gay.

Nope. I didn’t abandon my mission. Nilipatana na kunguru lakini sikukamua.

for real?

So hujakamuana leo!?, another day another bad decision

Eeh!

kila nyani na siku yake

Sijakamuana bana. Lakini nilipatana na kunguru.

I can also swear on my goodness. This is.one of the little secrets you should know.

Once you give out, you will nevermiss a source of income

Hehe

[ATTACH=full]236694[/ATTACH]

thats the eternal mystery my friend

Izah joh, your day is coming

Mimi siezi bishana na msee anakula mali ya mzazi. Mimi ni kung’ang’ana vile najua and no giving up.

i try telling my son hivyo lakini mamake anaona kama namtupanisha. Life is quite dynamic. The good grades will not always guarantee financial success.
Reunion ya high school index 1 to 10 walikataa kutokezea coz ya aibu.

@tall mnyama everywhere nimewachia hapo kwa 4 bedroom vile nilikumbuka bado unakaa kwa madhe.
Uta Hama lini? Ghasia.

Huyu jamaa inafaa atafute hata single room kariobangi ama D ndio awache kuwa idle kutembea nairobi kutafuta kvma na pombe akijua jioni ako na free accommodation and meals kwa wazazi.

Ama aongee na Wakanyaks @Motokubwa ampatie Ka 10 by 10 ft alazee mattress na Ka meko. Mwanaume ni effort.

:smiley: Na jiko ya kuuza mutura.