Life is so funny. Today I have come to realize that life is indeed funny.
Leo nilikuwa nimeenda Ruaka kukamua kunguru (villagers husema usikamue kunguru kwa nyumba hujui nani hulipa rent lakini leo niliamua fuck it hiyo rule leo sifuati). After nimeshuka mat nikitaka kupigia kunguru anipee directions za njia ya kuenda kwake nigga flani ilikuwa na harrier kidogo inigonge. nikitaka kumchachishia vile ye ni mbuzi juu anaendesha gari kama mwendawazimu nikapata ni ninja tulikuwa na yeye high school. jamaa alishukisha kioo nikaona kumbe ni yeye. story zikaanza ikabaki amenishow niingie ndani ya morenga tuende ivo tukichapiana. hata story ya kunguru nikachorea. Tulienda two rivers msee akabuy mzinga ya Belaire na Moet Chandon tukaenda keja yake. Damn this nigga was doing well in life. Msee anaishi in a 4 bedroom house fully furnished complete with a swimming pool, gazebo na hizo stuff. Sometimes money is good. Dem ya huyu msee wacha tu. To make it interesting this nigga in high school was as dumb as a chicken. Hell no he was an @Idiot but here he is enjoying life. Me na degree yangu kazi yangu tu ni kutarmac na kukamua kunguru kwa nyumba zao. Ushaikaa chini hadi ukafikiria mahali maisha yako inaenda. Apparently he helps his Dad manage some of the petrol stations he owns. Lucky nigga.
During the April holiday nikiwa Naks, I bumped into some guy pia tulikuwanga na yeye high school but alichujwa tukiwa form 2. He used to be rowdy in school, start fights and was a constant disturbance. He used to be punished almost all the time. In class he used to be the last one. Sisi wengine tumeng’ang’ana tukijua masomo itatusaidia yeye hajali. He was a DJ in some club huko Naks. He seemed to be doing good in life. I bumped to him on my way to the washrooms as he was coming out. When he looked back kuona ni ghasia gani hii inamgonga ivo akapata ni mimi. Jamaa alikam akanigotea akianza zile za “Boss we ni urefu tu unaongeza”. Namshow aaai zii. At the moment sikujua ni dj since i was seated in some corner nikicheki UEFA game ya Ajax na Juve 1st leg. Alafu msee akakam akamchapia " Ooh yaah msee kam umalizie set yako imenishinda hapo", probably aliachia amateur alishindwa kumalizia set. Msee alinibuyia hadi mzinga ya Grants ya 1 litre. He was driving a Shoebaru Forester. Yeye alimaliza high school tu ivi kama amekuwa DJ. Mimi hapa niko tu. Degree inakula vumbi kwa box.
Nilipata mwingine tulikuwa tukistay esto moja kitambo. Msee hata daro hakuwai kanyaga. Sisi tulikuwa tunaenda chuo yeye anabaki home. Nigga right now is a fleet manager of matatus plying the Kiserian route.
Where did life go wrong??