Life pale Tundra High(Nyandarua High) under Kiuna

Dawa ya deni ni kulipa.Niliahidi hekaya na sasa ndio hii
Kabla uanze kuuliza Kiuna ni nani,Ni paka ingine ilikuwa depa naye princi alikuwa anaitwa mnofu na walimu wa discipline walikuwa wamakima,Kianangi na Wainae.Wote hapo walikuwa watiaji zaidi ispokuwa Wainae.Kianangi lived according to his Name,anakurarua bare unaona Mohorovic discontinuity.Siku.moja alipiga mukorino kofi kilemba kikatoka tukashangaa sana kuona Buju banton akiwa na Rasta.kumbe wagithomo hawanyoi??Wamakima naye alikuwa umbwa sana.Umama sana akitafuta promotion
Back to my stori,Kiuna alikuwa games master kabla apandishwe ngazi awe depa.Msee alikuwa poa sana.Basi ya 67 ilikuwa ikienda na wasee 100,extras ni wasee wa kushangilia,na anawabaia lunch.Kupandishwa cheo akamea pembe kila mahali,kiburi kikaingia.Msee akawa mnyama.Jamaa anakupiga vita imechanganyika kama chakula ya kihii kiaganu pale njoguini,sio mateke,makofi,funguo,mawe au hata ngumi na mapipe za bunsen.Ukitoka hapo ni kama msee ameundergo evolution ju mashavu yamefura,lips zinatoshana na visking tubing ju ya vita.
Msee alikuwa anaongea kiswahili~kikuyu.Ati"Kijana mwaga sahani peleka mchehere kwa dorm uende darasa",au “Haki ya mama nikikupata na mchehere utanitambua”.He would beat the shit out of even the meanest mang’aas kwa shule.Mimi tulikuwa na uadui naye ju kila siku angenipiga kwa kutovaa socks na tai,kuruka laini,kupiga box za wenyewe butterfly na kadhalika.Siku moja alinipiga teke la mkundu nikashindwa ninye,ninyambe,nilie au nifaint.Ikabidi ameapologise akaniambia niende kwa nurse.Wapi,kutembea ni balaa.nikalala hapo kitu dakika ishirini.Kuamka nikaguza balls nikaskia ziko,msee alikuwa karibu kunifanya eunuch ni vile kiatu haikuwa sharp shooter.
Msee alikuwa anapiga darasa mzima bunsen kama kumi bila kuchoka,sidhani huyu msee alikuwa anabaki na energy ya kutomba bibi by jioni hu hata msee ungempata akipiga raundi usiku saa sita badala awe kitandani.Kuna jamaa anitwa Wanjuki alipigwa akaongelesha depa kisapere akamwambia kama ni mwanaume amguze tena.Jamaa ameshika mawe anadai kulenga gari ya Kiuna.Akikupata umelala anakupiga kofi unakumbuka periodic table yote na Fruits na gifts za holy spirit.Mahali popote ulipo Kiuna,Nenda ukikauka

Lol! Kama hujapata mtoto you should have reason to worry.

Nitatafuta kadame kamoja nifanye experiment.nikikosa napeleka kiuna mahakamani

Nimesoma …iko juu…lakini Hii sio Hekaya…hii ni story…Hekaya ni tofauti
This here are the guidelines for a Hekaya
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/hekaya-si-story.21217/

Nimeachia hapo kwa majina za warimu 16

nigga are you trying to be funny??
coz you are trying too hard but i aint feeling it

Urimu Mutheri

maoni ni kama shimo la tako na kila mtu analo na huwezi nyang’anywa.Jiwekee

Umesahau wapi mode alikuwa anaitwa Topo:D

Topo ni umbwa sana.Alinipiga Kofi ju ya kuzima bunsen burner bila ruhusa yake.His legendary sandwich makofi

Gathia

Watu was nyahururu high hatuwes relate

Watu wa kurape nguruwe kaeni mbali