LIGHTS OUT!

[I]CONTINUED FROM THE CHASE…

     After that breakup i went house searching and landed in Gachie a place called Gichagi..i found a space big enough for my mini mart just opposite Gachie market a friendly little town or so i thought. the biz was good till a crime wave hit the area,it was so bad that even an electric fence could not save you,yaaani the thieves wanabuy matress,wanatumia that three legged ladder wanalalisha matress kwa wire wanaruka ndani.nyuma ya compound! ata watchie alikua anawastukia ndani,na wengine wanamwagili perimeter wall some sort of acid wanaigonga inaanguka.. wizi ya nyumba izo padlocks za tri circle kama hauko inamwagiliwa chemical side ya kufungua, kanafunguka,Swara ilianzia kwa mat nikienda tao..niko kwa mat hapo mbele naitishwa ferare kupeana thao nyuma, iyo fala ilikua nxuma yangu ilishika doh ikatoa soo ikalipa wawili tao na ikapocket thao,before tufike tao alikua ashadondoka..sema kupashana na donda juu ya change,ata kwa pesa zake hana noti ya thao! kuanzia hapo nikaanza kukutwa kutwa,naitishwa zote kila wiki mpaka nikahamia place inaitwa Mugacha nikadowngrade to a retail shop..waaah! a month there my house was just behind my shop..niliskia watu ndani ya nyumba..yaani wameng'oa mabati wakapenya kwa kale ka space huwa kwa ceiling hapo katikati ya verandah(ilikua one bedroomed) ceilings were made of plywood,the guys were armed with pangas,iko kwa shingo unaskia ikinuka mchang fresh na dhaara,dooh yote ya sales ya iyo siku wakapocket,walikukua weusi ajab! ni kama walikua wamejipaka oil,mmoja ameniwekelea panga as the rest looted the house,video player,watch zangu,chains zangu,jale zangu kalikali mpaka viatu na home bank wanazipanga kwa travel bag yangu nikiona,nikapigwa sweep nikaland na kichwa chini nikaambiwa nilala face down nikiamka kichwa imeenda..

After i was sure wameenda i woke up whistled contineously yangu yote,nikaona ma neighbour wame switch lights off na kuskia wakifunga chapi za milango zao,no one came out,i was the next day told by one neighbour,no one dares come to help or your houseor your house would be next and i should be thankful i wasn’t harmed…2 months later at just 8pm nimetoka kwa shop kunyora apo nje…the fuckers hao tena wanionyesha mguu ya kuku wakaingia na mimi kwa shop,cash drawer ika wipiwa clean mpaka coins,then they did their shopping,wakachuka masukari,maziwa,masabuni na majani paperbags za kinde zimejaa kila mtu,i did not even bother to scream,i shouted f.uuck this town! nikafunga duka and went to sleep…i woke up next morning headed to town nikapanda nisso Nyamakima nikajipata Nakuru…nikapanda mat ingine nilijipata place inajiita ‘London’ this was far enough! nikatafta keja… na kashop vacant…nikarudi…ilibidi nitafte transport as far as Karura ndio hawa mafala wa gichagi wasinifuate,I had become soo insecure. took a canter off to Nakuru…

  I had to start with almost empty shelves,but in six months it was now okay..in a year it grew to a wholesale shop,maji tu ndio ilikua na flouride mob,inapatiwa watu meno za brown,i had to keep a stock of mdaa and its at London i met Aggie,posterior and anterior superbly made,a charmer and a yellow yellow,dated her 6 months and married the lass,she proved hardworking and i started her a tailoring shop that she advanced to a boutique,i had always kept in touch with my big bro and ,he had a landline,on calling him,he said he needed to see me,he had fallen sick his throat needed surgery..his wife could not run the supermarket(his shop had advanced to a supermarket)Aggie agreed to run my whole sale shop while her sister operated the boutique,Aggie was pregnant but swore she could manage.i travelled to Ngong and the surgery was successful,2 weeks later Aggie called she needed to stock the shop so she sent her younger sister and i gave her all my bank details plus my id.wrong move! she did not communicate for two weeks and now my bro was okay and could run his supermarket,her mum's was also off for the two weeks,her mum lived on Kenyatta avenue Nakuru with Aggie's younger sister...

i got home at around 2pm…i literally sat down on the floor,my legs could not hold me,my wholesale shop was now a spare parts shop,tyres zilikua zafanyiwa service hapo nje,on enquiry the place had been rented out three days ago,mbio to where her boutique was ,the shop was empty… nikakaa chini flat nimeshika kichwa… kurecover nikachukua boda boda(still bicycles) mpaka Kenyatta avenue,ni mbali,nakuta wamehama na the boma imemwagwa mchanga.,i sat down again now everything moving in slow motion and every sound mute except for that tiiii sound in my head that kept ringing kama ile ya sound ya KBC kitambo before i funguliwe saa kumi.I fainted and i was woken up by curious people who had now formed a small crowd around…i stood up and left them there,i walked to the nearest kibanda and too mix chapo.i only had 3k in my pocket… nikatafuta keja ya mabati ya 600 bila stima and bought a lean mattress for 500,That night the mosquitoes wont let me sleep…i left the house at around 9am and on enquiry a boda guy was good enough to tell me allto tell me all about the biz and even directed me to where i could rent a bicycle for two hundred or three hundred a day for mkokoteni,

I settled for a bike…it was a rough two weeks at first,sometimes making only the two hundred per day but it got better with time and i could even make a k for a day.i got to know the routes like the back of my hand…saasa jioni moja.izo ma trip za mwisho mwisho kitu 11pm,nikapata clients wawili wa Sudanese wakadai niwafikishe top 10 petrol station,wakanipa 200 nikashindwa kwani wako generous aje place ya sixty bob wananiwai rwabe!Nikasema labda ni wageni…kufika top 10.Wakasema hapo mbele kidogo …wanabonga ngoso.kusimamisha bike wakashuka, niliwekea kisu kwa mbavu before nibongd nikaskia vibare mbili nzito pwa!pwa! naskia ndiii wakatoa pesa yote kwa mfuko yangu,mabuti kiasi ni watu kaa watano sasa nikiwa down then wakaniamsha na jeck kama jambas…nikambia nikimbie na nisiangalie nyuma…walikua weusi kama giza yenyewe nikakimbia tu,kuchapia mwenye bike vile kumeenda akakasirika yake yote akadai lazime nitoe bike yake na tunaenda karao…kuingia ati kuchukua kitu…ile mbio nilichomoka!..mpaka kwa nyumba…ngware ya 6 nilikua kwa mat ya kurudi nai.nikatembea kutoka nyamakima nikajikuta shauri moyo nikasmama apo scrapmetal yard karibu YMCA nikaona Kenya bus number 3 ya Kinoo nikaingia nikashuka place inajiita Wanyee…nikateremka na iyo roadi niki take in the environment mpaka mwisho nikauliza mama mboga akanishow niko kabiria…nikapanda na iyo baro mpaka mwisho kwa stage nikafuata a dusty road,kuuliza tena nikaambiwa niko kwa ng’ang’a nikaoma house to let keja ya 800 na stima,though zinaziwa 6:30am mpaka 6:30pm…in a week nishajuana na ma neighbour wawili na mmoja(Johnnie) akanitroduce kwa hustle yake ya ku unload cabbages twice a week uko ‘ndunyu’(Daggoretti market) usiku,Johnnie akaangukia a sugar mummy,akawa anapickiwa on a daily and soon moved to a neighbouring town ‘Kamwene’ but he would come on the weekends tunaendwa kuwaka apo Waithaka stage.

Johnny soon moved back…he left the sugar mummy who did not take the breaking up nicely and with the savings from the affair we set up a mtura base at kwa ng’ang’a stage…the sugar mummy dropped by afew times but Johnny refused to patch things up with her…she swore he would regret it…he did two weeks later…that night we had three regular wazees storytelling as usual each with a mug of soup,two guys pulled wakaorder mtura ya mbao,then soup mugs mbili,kuingia kidogo kutayarisha soup nikaskia johnny amewika in pain,wazee missing! nakuta ndio mmoja ya wale two guys anatoa shoka from johnny’s head. kuona vile damu inaruka nikashindwa kumove wakarudi kwa pick up as johnny dropped, a few minutes the was dead,mimi mbio mpaka Kirigo police post,nikareport tukarudi na polisi.Njoro, johnny’s bro came for his things three days later

I closed the mutura biz, customer’s stopped coming…visanga zikaanza…every night naskia wasee waki weight lift kwa nyumba ya johnny,na iko vacant and locked! noises were like those mademade in a gym by weight lifters…nikachapia Jimmy nikicheka,thinking it would suprise…wapi! he could also hear the noises,we told the caretaker tukafungua iyo nyumba.jonny’s house was in between jimmy’s and mine…only two man made weight’s were in the room…zile za chuma na simiti…wacheni vhangi! the caretaker left laughing…the noises continued…always began after midnight…Tukaamua kukesha kwangu,Jimmy,caretaker and i,giza nusu,na kangeta nusu,big G,patco,kahawa na njugu kwa meza…entertainment panasonic na speaker za Roadstar ndani ya mtungi,Music reggae,tape ya lucky dube na ya bob ikingoja hapo kando…kama shika kitu 15 minute past midnight jimmy akazima radio,no noises tukaendelea, kufika na nusu noices zikaanza tukatema na tukatoka nje,the house wap locked,no light na kuskiza kwa mlango noises zinatoka ndani,caretaker akafungua mlango pole pole,tukiwa nyuma yake na akafungua mlango yote kama amewasha ile torch,the light was bright A.F,two bottles of safari cane were on the floor and besides thebesides the homemade weights were two black cats…we stood still,one cat meowed twice…torch ikazima,iam not sure kama ni the caretaker that switched off the torch juu ya uoga but SHAAIT! sisi wote missing! each taking his own direction…i thing the veve in my system heightened the fear juu nilitoka onyoya,past muthama vwaa!,past Waithaka vwaa!,past Ruthimitu vwaa!..nilijipata Gashui…sikuwai rudi uko tena![/I]

Inakaa ulirogwa Na wakisii brathe

ati black cats… :smiley: :smiley:

Pewa mbili baridi na utume paybill. Hekaya swafi.

Hekaya iko poa brejin

hehe Jamaa you have a knack for re-inventing yourself. Yani unaibiwa kama umekua boda boda the next day. Hiyo story ya shuga mama imetisha

@mr slices hata na dawa ama maombi sijui tukusaidie aje. Haina tofauti na kamnjoro. What kisiis planted in Your life only God and devil knows

Imagine that!

iyo story aki ni ngori.

Asande…natuma paybill kwa inbox.

asande sana.

hehe…kuna watu hawana huruma…maisha nayo inachapana wrestling…inabidi unaamka tu una dust yourself unasema haisuru na unaendelea… ama vipi bro?

Yaani hizo paka zilikuwa zinafanya tiz ili zikumalizie ama.
Hebu malizia hii storo bana.

hapo sawa. good thing you never dabbled with illegalities/theft etc. life threw you tonnes of lemons

sasa me hushindwa kuliendaje…ama niende maombi?

How can that too much shit happen to one person. wueh!!! you are strong brathe

Hizi shida zote ni za mtu mmoja? Na uyo msee wako wa mutura alipigwa shoka ju ya momo ama ju ya nuksi zako?

Dude, hakuna place haujapitia…?enda church

Huyu ameshinda Saitonebeathehoe

If it were me lazima ninge give-up after the continuous misfortunes.