Likoni Ferry New Charges

The Kenya Ferry Services has increased charges for vehicles crossing the Likoni Channel by between 25 and 35 per cent.
Vehicles between 3.5 and 4.5 metres long will pay Sh120, up from Sh90 while pick-ups are to be charged Sh150, up from Sh120.
Tourist vans which used to be charged Sh220 will now pay Sh280 while passenger buses fees have been increased from Sh880 to Sh1,100…
[ATTACH=full]157404[/ATTACH]
Hawa watu wako na jokes, gojea bypass ya dogo kundu imalizike, hizo ferry wataziwekelea mawe

Hio ya bus is hawangeongeza, it will make bus fare to be increased

Tano tena, na kumi fresh

niaje shifo

Ebu niambie bei ya kuvukisha tanker. Najua tu huwa inavukishwa pekeake?

Ilikua 12k sasa i think imeruka to 15

Poa Sana Kibûi

That’s fair. Bearing in mind jamaa wa siphoning anaweza kamua hiyo tanker 80k round moja na usinotice.

:D:D:D:D

[ATTACH=full]157428[/ATTACH]

anchor itakua juu

Bado mazda Carol hazijaanza kulipishwa…huwa zinavuka zikiwa kwa mfuko kama Mpesa… .

Kenya Ferry Services wana ushenzi. Wanaongeza bei Kando na hizo go slow zao zinazosababisha jam saa zote . @ Meria hio bypass ikiisha hizi vitu zitauzwa scrap

Tutengeze jiko

Tano tena.