Leo nimepitia pale Valley Road nikaona zile limousine zilikuwa opposite CITAM zimeondolewa and that place looks like its falling apart. Kwani hazikuwa zinaleta pesa na vile zilikuwa zinabeba slay queens kwa harusi

Boy wangu Kip-Limo amenishow kaa so vile tu alifikisha threshold Newark,New jersey na mulatto Fulani. Ange win Boston Marathon last year na ati sahii tungekuwa tuna Cruz na Limo. Ithuruuu