wadau nina swali nyeti..nimeenda luthuli kubuy mbulu but one thing nlinotice na biz za walach ni karibu wote hawana paybill or hawataki story na kulipa na till..unlike my african people most wamebuy hio idea ya payment na till juu its convinient for customers..same story when nlienda isich waafrika tu ndio wanakubali till and stuff..is it that hawa walach washaambiwa mtara ya kulipa tax in future ama?like gava wanaeza access different biz thru safcom wajue nani halipi tax so kunavile mawalach wanachorea hio fom.?