Lipa Polepole

By the time umemaliza kulipa, you’ll have forked out Ksh 63168. At avechi same device goes for 32k. Others UpTo 34k.
I know benefit ni one does not have all funds and flexible payment but double price doesn’t really justify this route.
Telkom hapa ni wezi
[ATTACH=full]456286[/ATTACH]

Haiyaa!
Kumbe hawa wameanza hizi pia?! Mkopa imefira watu vibaya sana sehemu za mashambani, especially small and developing townships!

256gb pale abdul ni thate thirii buana. Hii ya telkom ni uwisi tu

[MEDIA=twitter]1555818634966192133[/MEDIA]

Hawa wako ligi ingine sasa

Manze. Na hiyo bei unaweza kwachu flagship if you know a friend anauza simu and considers you trustworthy

wajinga ndio wali. wao.

These are loans that your main aim of acquiring, is to default on payments!
:D:D:D

Banae:D:D

Izi vitu si ikichapwa flash custom ROM msee ameponyoka ??

Like mkopa mtu husign up na ID. I guess unaweza flash na utoroke but maybe watakuweka CRB since they have your details. I’m not sure

CRB si wakenya wengi sana wako already

CRB wakenya hawaogopi. Una tupwa huko na you life your like you have your own kingdom.

Shida inaingilia wakati was kusaka job ma opportunity zitakuponyoka just like that

And probably hautamaliza na hio simu hio mwaka…vitu za mkopo are throwing youngsters into financial depression bana…

Chukueni izo mkopa mkujie files tuondoe lock

Najua hizi devices ziko tricky sana kuflash ROM juu hazimatch model no. na zile zenye hazina Pay As You Go. Either way, itabidi umesacrifice sim slot ile dedicated ni ya PAYG. Kama phone ni single-sim, huna bahati. Tena nilicheki kuunlock ni limited only to Android v9 and earlier.

Not at all niko na files za IOS pia only that utakua limited to features kama screenshot na password

Naskia A12 na Nokia flani hapo inangolewa hii slavery rahisi sana

Kuna ghaseers hushindwa kulipa so they look to sell the device. I think ukimanage unlocking /flashing the rom and nitty-gritty things ukona a fairly new device, hypothetically of course. I’ll try that hii Dec nikiwa na free time, for research purposes