Marehemu alizaliwa Embakasi mwaka wa 1994.
Alikuwa second born to those named there.
Akaenda nursery hiyo shule imeandikwa hapo 1998 alafu akaenda secondary school inaitwa Dedan Kimathi memorial.
Baadaye after secondary akaenda college ya kupeleka magari na baadaye Akaanza kufanya kazi ya kuuza mashamba ambayo amefanya Hadi Kufa kwake akwa na umri was making 23.
God gives, God takes.
Rest in peace our son