LOGO ya Ubongo Kids ina promote Ushoga?

Nimeiangalia kwa makini hii logo ya hawa jamaa wanaotengeneza katuni nzuri kwa ajili ya watoto wetu…Nikashtuka sana baada ya kuundua kuwa rangi zilizotumika kwenye Logo yao ndio zilezile zinazotumiwa na mapunga,a.k.a wanaoliwa nikaogopa kwamba watoto wetu wanafundishwa nini pale wanapohusianisha hizo rangi na zile za bendera ya hao Gays…

Tazama kwenye picha jinsi zinavyofanana.

[COLOR=rgb(65, 168, 95)][FONT=trebuchet ms][/FONT]
[SIZE=6][COLOR=rgb(65, 168, 95)][FONT=trebuchet ms]MY TAKE: Hii Logo serikali ipigeni marufuku isitumike tena au hao Ubongo kids walazimishwe kuibadilisha.[/FONT][/SIZE]

[ATTACH=full]180070[/ATTACH][ATTACH=full]180071[/ATTACH][ATTACH=full]180072[/ATTACH]

Mkuu, rangi pekee haijatosha kuwa kigezo cha uhamasishaji wa ushoga kwa hao watoto wenu wa St… Binafsi ninaamini kwamba wewe ndie tayari umesha anza kuhamasisha ushoga kwa watoto, kwasababu mawazo yako ndio yamekua key source ya kile kilicho ujaa moyo wako.
By the way, watoto wetu wanao soma S/Msingi hawajui hata hizo Ubongo Kids ni vitu gani…

analea penzi jipya kwa kidoti

Hahah!! Umewaza mbali

Hii ni alama ya amani na haitumiki Tanzania tu ni duniani. Hii nembo inatumika hata ulaya. Kama mashoga wanaitumia Tanzania inabidi Serikali waingilie kati waiache. Hii ni alama ambayo inajulikana duniani.

Rangi tu, ila ishakuwa issue…