LOGO ya Ubongo Kids ina promote Ushoga?

Nimeiangalia kwa makini hii logo ya hawa jamaa wanaotengeneza katuni nzuri kwa ajili ya watoto wetu…Nikashtuka sana baada ya kuundua kuwa rangi zilizotumika kwenye Logo yao ndio zilezile zinazotumiwa na mapunga,a.k.a wanaoliwa nikaogopa kwamba watoto wetu wanafundishwa nini pale wanapohusianisha hizo rangi na zile za bendera ya hao Gays…

Tazama kwenye picha jinsi zinavyofanana.

[COLOR=rgb(65, 168, 95)][FONT=trebuchet ms][/FONT]
[SIZE=6][COLOR=rgb(65, 168, 95)][FONT=trebuchet ms]MY TAKE: Hii Logo serikali ipigeni marufuku isitumike tena au hao Ubongo kids walazimishwe kuibadilisha.[/FONT][/SIZE]

[ATTACH=full]180070[/ATTACH][ATTACH=full]180071[/ATTACH][ATTACH=full]180072[/ATTACH]

Hizo rangi hazina shida yoyote labda ww unavyotafsiri. Ni rangi za kawaida kabisa tulizofundishwa shuleni.

Waambie pia wizara ya elimu ipige marufuku ufundishwaji wa rainball formation kwenye topic ya light(physics)

ROYGBIV

Naona umenisoma mwanafizikia mwenzangu

Acha kukuza mambo. Ina maana upinde wa mvua (rainbow) ni alama ya ushoga

Au Ndio kuipinga business ya mwenzio kiaina

kumbe u… unarangi zake eeh! kwahiyo…

Sasa huo si upinde tu unashida gani?

kwahiyo Upinde wa mvua nao unapromoti ushoga?

Hahaha kweli elimu ni tatizo kwa watanzania, mbona hiyo ni rainbow ya kawaida na ipo kwenye cartoons nyingi za watoto hata kwenye channels za watoto zinatumika sana

Nafikiri hata kwenye madarasa ya watoto mashuleni au hospital za watoto, vitabu, michezo yao kuna kuwa na michoro ya rangi nyingi nyingi hiyo ni psychology attraction watoto wana kawaida ya kupenda rangi rangi sana ndio maana hata kwenye nguo za watoto huwa ni za rangi rangi nyingi kuliko za adults

Imefika mbali mpaka kutenganishwa blue color na pink color kama rangi rasmi za mtoto wa kiume na kike respectively.

Rainbow kutumika kama alama ya machoko waliiba kwa Mandela ndie alileta hiyo nembo SA baada ya kupatana kwenye reconciliation agreement na makaburu na kuliita SA nickname ya the nation of many colors na kutumia rainbow kwenye hiyo campaign

Kwamba weusi, weupe na chotara wote kwa rangi zao tofauti ni wa moja South Africans na baada ya muda LGBT kwa umoja wao wakaiiba na kuitumia kuelezea preferences zao za kungonoka kwamba kuna bisexuality, lesbianism, gay, transgendered, etc but all in all ni ushetani

Lakini pia kwenye Bible hii rainbow ina maana nyingine kubwa zaidi ambapo baada ya Mungu kuiangamiza Sodom and Gomorrah kwa maovu yao mengi ukiwemo ushoga kwa kiasi kikubwa na kuachia gharika ya maji na kupelekea wale waliokuwa kwenye safina pekee kunusurika

Kadiri maji yalivyozidi kupungua alikua akitoa ishara kwa waliomo ndani ya ile safina na ishara ya mwisho na yenye agano kwamba hataiangamiza dunia nzima tena kwa gharika ilikua ni hiyo Rainbow kama alama ya agano…

Japo bado ina concepts and theories nyingi zaidi

Najiuliza mtoa mada ulifikaje hadi kwenye Ushoga.?? huo uchambuzi wako hukufikiria vitu kama rainbow ukaishia hapo.

Real recognize real and Gay also do the same.

Aiseeh!! Kumbe hizo rangi ni za magasho?

Pole sana…

Mpaka umewaza hivyo utakua na matatizo…

Cc: @Mahondaw