Looking for Flash-drive ~ wholesale

Who has any leads on where I can get Sony and Sandisk flash drive @ wholesale prices in Nairobi. Memory 2GB - 64GB. Ukipata inventory nitashukuru!:slight_smile:

Mi hubuy luthuli avenue, hapo electronics house. Lakini shops karibu zote kwa hio street huuza accessories in wholesale. Though ka unataka original sijui penye hua zinauzwa.

Tembea hapo stage ya Thika Kenya Mpya. Huko chini kuna woria ana uza na wholesale. 16gb ni KSh750.

Kwani zikoje

Hazina shida, though mi huskia kuna vile original huwa na serial number flani yenye unaweza confirm online. Hizo za Luthuli so far sijapata shida nazo, except zingine zilikua zinaitwa DigiRich, nilibuy kumi nikapata mbili haziko sawa.

Tupatie coordinates za hiyo lokeshen vizuri Kaka , building street contact ama smthing like that .