louder please madam

#7
Have had three suits in my life,no four ..
One,those ones bought during christmas. I was ten I think.
Two,the one I graduated in
Three,forced to buy by the boss. Employer was rebranding.
Four,bought to attend a certain interview. This was a total waste of 7K...
 

Veccino

Village Elder
#10
I remember nikiwa mdogo my mum alinibaiya suti moja na ilikuwa kubwa ndo ni ivae saana before ikuwe ndogo.Ilikuwa tu ya sunday na ukitoka church uchelewe kuitoa uchafue ilikuwa vita.Suit ilienda kama 5yrs haiishi.I came to hate suits from that time.Siwezi vaa suit ata nn ifanyike.Maybe nivalishwe nikiwekwa kwa jeneza siku ya mazishi yangu.
 

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!

D

Deorro

Guest
#17
Pia mimi nachukia na roho yangu..I dare say it is the main reason I was inspired to avoid formal employment. Ata kwa mazishi yangu nizikwe ma boxer pekee yake.
I also despise vests with all my heart. Ni kama bra ya mwanaume.
hehehe sijui mbona sipendi vests pia..... lakini inaweza kukuokolea ukitravel then upate Subaru abruptly. badala ya kutumia boxer ama socks utumie vest :D:D:D:D:D
 
#19
hehehe sijui mbona sipendi vests pia..... lakini inaweza kukuokolea ukitravel then upate Subaru abruptly. badala ya kutumia boxer ama socks utumie vest :D:D:D:D:D
Hehehe...after nipatane na Subaru siku fulani, ata hiyo hekaya niliweka hapa, sijawai toka nyumbani bila tp. I also upgraded to pure cotton socks and boxers.
 

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila. Cast your vote!

Top