Loyalty

Hakuna kitu huniudhi hii maisha kama kuambiwa kila wakati to go separate ways with my one and only true friend. Hakuna siku nimewahi kosana naye ni machozi ya furaha tu. Pombe siachi till death do us apart.

Pombe na umaskini huendanisha. At some point, you will have to choose between your dreams and the bottle.

I used to say the same thing until nlijipata huko syokimau

Mcoosh yako ile mnono ikijazwa moshakwe?

Slave and his master. Hutaiacha. Itakuacha. Mahali pabaya

Iv never heard Kuna mtu amekunywa to success ,usually mtu hukunywa to failures

Siku moja nilikunywa overnight. Nikalala asubuhi kama saa moja hivi. Kuamka ilikua jioni ya saa kumi na mbili! Ulevi na hangover zangu zikaniinyesha ni asubuhi sasa! Eti nikapiga mswaki na kuvaa, nikapanda gari kwenda kazini. Nikalala tena ndani ya matatu. Mia saba yangu ya mwisho ikaibiwa. Kufika kazini eti giza laingia badala ya jua. Ndio napiga mahesabu kumbe ni jioni, shit!!! Napanda matatu ya kurudi home. Wakati wa kulipa sina kitu mfukoni!!! Jijazie kilichotokea!

:smiley: :smiley: Ulichunishwa sukuma na donda

Back then Africa was straight!

I drink sometimes, though not as often as I used to. I am not proud of it. I normally go for 2 or 3 weeks before relapsing again for a weekend then another 3 or 4 weeks clean. Eventually I’ll quit completely. Its not easy but at least I turned my life around when I stopped drinking thrice or more in a week to once a month

hivi karibuni utakuwa mwepesiwewe. sikuombei mabaya but pombe huwa haiachi mtu pazuri.

The bottle…the bottle…

Sisi bar owners we need the regulars baanar :smiley:

:D:D:D:D

Malizia hekaya

Ghasia

Hahaha … hii hekaya itabidi utumalizie, hehe

have noticed this too. not from drinking but mtu akikunywa I think it interferes with common sense ata ukiwa sober. i went on a bender in dec. jan imenipata i was so broke karibu nitupwe nje ya nyumba na si ati sina job.money was just dissapearing mysteriously

All that is required in drinking is discipline.
Once the need to quit arises then you might be overdoing it!

The only people who complain about alcohol are weak niggas who don’t know their limits or don’t have the discipline to control how much they take. Kama wewe ni mtu wa beer nne ( 1000/- ) just stick to that everytime you go out. Personally, i limit myself to 4 double shots of glenmorangie 15 years per week. I only go out on saturday nights. This sets me back 2400/- in my favorite watering hole. Ubaya ya watu wengine hapa wataanza kusema, ooh, unajua hio ni bei ya william lawsons mzinga. Its OK, but that exactly how u become a useless alcoholic drinking cat piss just to get wasted.

Hizo doubles nne Zikikatika tu ata kama 9PM ama 3 AM i know my time in the bar is up and i just go home. We live in a society where it is extremely hard to be a teetotaler for life. Acha kujidaganya, huwezi acha pombe on its entirety! Besides, some of friends i have made in the club/bar have turned to be much more resourceful than those i have met in places of worship!
So, quit whining, man up and create a healthy, disciplined drinking culture for yourself and u will be fine.

Three months nijaze mwaka. My work output is fantastic. Pesa nimeokoa mingi sana

Insightful responses here.