luambo makiadi nimerejea rasmi.thanks ndugu zetu wakenya

Ni furaha ilioje kukutana na wana jf wenzangu jiwe lione aibu na humu

Tutaendelea kuwabana hadi akili zenu ziwakae sawa.

Mfugo wa lumumba ktk ubora mbna umekuja huku sasa si ungejisajili ktk mtandao wako

Tii sheria bila shuruti utaishi kwa amani vinginevyo ni kinyume chake.

SheriA IPI?

Tuondolee utahaira wako humu.

Zilizowekwa na nchi.

Pimbi kweli wewe.

Pimbi wewe na Rais wako.

Nyau wewe.

Nimekuja kuwapa elimu. Huwezi kutukana watu na kuandika uzushi kwa kigezo cha uhuru wa kujieleza.

Tutaelewana tu.

Dhumuni ni kuwabaini watu kama nyie mnaotumia mitandao kutukana watu.

Bora tuko pamoja wadau

Hahah@@ jiwe

MBNA mahakamN jf iliwAgaragaza? n sheria ipi ilivunjwa ewe mfugo wa Lumumba? ona sasa na we unakuwA mkimbiz huku

n mAhakama IPI ilisema jf ilivunja sheria? vilaza bhAna