Lucky escape

Sasa cheki huyu mjamaa hapa, file yake ilikua imeitishwa lakini kwa bahati nzuri au mbaya haikupatikana.
unakata aje mbele ya axor Kaa ile Ya @kabuda na iko teke teke?
Apana cheza na gari kubwa kaa imebeba 30 tons. the car was pushed kindu 10 meters and i think the guy wet his pants.
[ATTACH=full]7675[/ATTACH]

3 Likes

[ATTACH=full]7676[/ATTACH]

Every trucker`s nightmare. Hiyo kitu ikiwa fully loaded at 40 - 50 Km/h alafu fala kama huyo akuje mbele yako hakuna haja ya Breaks. Emergency breaking means you “Jack- Knife” na ulete hasara kubwa zaidi to all involved; Pita na mtu! That will teach him!
Ndiyo unaskiaga the unwritten traffic rule;the bigger vehiecle always has the Right of way - kaa kando!

8 Likes

mara nyingi some of the lessons do not serve a purpose…

1 Like

kwanza ikiwa ni garbage truck kama ya kabuda

Its a case of reducing the casualities. I f he finyad emergency breaks and the lorry Jack - knifed,you are talking of more casualties maybe from the other side of the road.Plus the devastation caused by spilled cargo all over the road never mind the truck driver himself. Why should a careless “chancer” be allowed to cause such chaos just because he was too impatient to let the truck pass? Drivers need to get educated on traffic rules especially when it comes to sharing the road with larger vehiecles.

MI HUTUSI WATU WA TRUCK SANA NIKI WA OVERTAKE

1 Like

Uwesmake jipende na upende wanadamu wenzako.

Boy naivety na ushamba itakumaliza. that’s very myopic n suicidal, imagine umetusi mtu ana trailer along a highway sababu uko na gari inahama, then a few kms mbele unapata puncture, accident or engine fail. Nani atakupata hapo???

1 Like

I totally agree with you on this…I travelled to mombasa last night and I saw how dangerous it can be…Infact the small vehicles are not many at night…hiyo barabara achia wanaume…hata jama wa bus yuko na co-driver wa kumchekia mbele before overtaking…otherwise watu wa tu NZE hawatoboi…

ofcourse lazma iwe ni mtu wa nze ama probox.

Most long distance truck drivers are just horny race drivers, some rushing to fack Mueni at Mtito and Kalunda at Voi. I’ve always wondered where they get their libido from despite driving that mkangafu the whole night,Buda what’s the secret.

3 Likes

@paparazzi will be @cityMall for at 4pm.

@Meria Mata, Sato Sky lounge!